Viongozi wa Singida fountain Gate mtakua mmejifunza suala la kumpangia kocha kikosi na hamtopanga Tena.

Viongozi wa Singida fountain Gate mtakua mmejifunza suala la kumpangia kocha kikosi na hamtopanga Tena.

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Nilitazama mpira future walikua wakawaida sana na walikua wanafungika magoli mengi tu kwenye uwanja wa kwao.

Lakini nilishangaa kuona Singida fountain Gate kupigwa goli nne Kwa moja Tena Future walikua Tisa uwanjani baada ya kupata kadi nyekundu kipindi Cha pili.

Ikumbukwe viongozi wanakumbwa na tuhuma ya kuwapangia makocha kikosi Cha kucheza na makocha wawili wameondoka kwa kuKataa kitu Kama hicho.

Wa kulaumiwa hapa ni viongozi wanaopanga kikosi na kuleta ujuaji wakati hata danadana tano hawezi kupiga.

Kama kuwa kocha ni kitu rahisi nendeni na nyinyi mkasomee na siyo kuleta ujuaji kwenye ujuzi wa watu.
1696222515943.jpg
 
Feisal Salum - Feitoto na Singida ni mafungu ya kukosa, hata hayasaidiki.
 
Team si yao acha wajipangie.. wanatoa mahela mengi sana angalau wafaidi kwa kua makocha namba mbili.
 
Subiri watakapo kutana na utopolo wenzao wapangiane vikosi maana ndio michezo yao hiyo
 
Back
Top Bottom