Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 2,091
- 1,918
Mramba - Aliwahi kusema watanzania wale hata nyasi lakini ndege itanunuliwa.
Katambi - Kijana ambaye hajapata Mkopo atakuwa ni Mkenya si mtanzania.
Nchemba - Asiyependa kulipa tozo ahamie Burundi.
CP Andengenye - Kigoma hakuna barabara yenye vumbi.
Serikali - Hakuna madhara wala hasara kuibinafsisha bandari za nchini.
Sasa wabobezi wa sayansi Jamii naombeni mnijulishe na kunijengea uwezo - hivi viongozi nchini wanapojitokeza na kusema hayo huwachukuliaje wananchi wa Tanzania?
Msakila Kabende Msakila
Tanzania.