Viongozi wa Tanzania huwachukuliaje watanzania?

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2020
Posts
2,091
Reaction score
1,918
Mramba - Aliwahi kusema watanzania wale hata nyasi lakini ndege itanunuliwa.

Katambi - Kijana ambaye hajapata Mkopo atakuwa ni Mkenya si mtanzania.

Nchemba - Asiyependa kulipa tozo ahamie Burundi.

CP Andengenye - Kigoma hakuna barabara yenye vumbi.

Serikali - Hakuna madhara wala hasara kuibinafsisha bandari za nchini.

Sasa wabobezi wa sayansi Jamii naombeni mnijulishe na kunijengea uwezo - hivi viongozi nchini wanapojitokeza na kusema hayo huwachukuliaje wananchi wa Tanzania?

Msakila Kabende Msakila
Tanzania.
 
Angeuliza mtu mwingine ningechangia , lakini kwa wewe chawa napita tu kimya
 
"Ukiona bando linaenda zima data" -Unknown
 
Viongozi wa Tanzania kwasababu hawawezi kusimamia kitu kidogo Kama bandari , wanadhani watanzania wote Ni vilaza Kama wao hawawezi kuendesha bandari.

Tatizo Ni kwamba wanateua watoto wao ambao bado Wana baby mentality kwenye kazi nyeti Kama u dead. (DED)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…