Viongozi wa TLS Mwanza wajiuzulu, Mwabukusi atoa tamko

Ni mapema kumtuhumu mwabukusu. Bado sababu hazijajulikana za kuachia ngazi. Tukijua hizo sababu ndiyo tunyoshe kidole kwake kama ni udhaifu wake. Na kama ni matakwa yao binafsi hatunyoshi kidole kwake
 
Hatuna muda wa kusubiri maelezo yake, sisi tumemaliza.
 
Hivi sasa hata washirika kawatenga!
Sasa hivi anachota tu pale TLS, makazi yake yako Mbeya, kwa hiyo analipwa posho ya kukaa Dar, na analipiwa hotel ya nyota tano alale. Yuko Dar kwa takribani miezi sita akilala hotel
 
Sasa hivi anachota tu pale TLS, makazi yake yako Mbeya, kwa hiyo analipwa posho ya kukaa Dar, na analipiwa hotel ya nyota tano alale. Yuko Dar kwa takribani miezi sita akilala hotel
Kelele zote za kutaka kuandamana DP World zote kwishaa!
 
Kama ulisoma Shule ya kata, tafsiri ya neno "public" Itakusumbua
Shida mnakosa akili wala sio Elimu, Njoo na tafsiri ya neno "Fedha za Umma" usiandike upupu ambao hauulewi!
 
Hakuna neno "Fedha za Serikali" ni Fedha za umma, Usiipe hio shingo mzigo wa kichwa!
Serikali ni nini? Toa tafsiri, usitumie kichwa kubebea mate na meno
 
Mengine malizia sasa, nyie watoto wa ku-google mpaka muelekezwe sana ndio mnaelewa. Bila shaka umenielewa sasa
Umeona neno Umma hapo? Serikali inawekwa na Umma kijana, Jaza maarifa hicho kichwa chako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…