joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Ruto ameamua kuwatoa kafara wakenya.
Wakenya wengi kama kawaida yao wamekua wakihisifu kwamba Kenya kuna Uhuru wa kujiekeza, kwamba watu wapo huru kutoa taarifa zozote.
Serikali ya Kenya imewakamata na kuwaweka ndani viongozi wote wa vijiji waliotoa taarifa ya watu waliokufa kutokana na njaa kwa madai kwamba wametoa habari za uongo za kuliaibisha Taifa la Kenya, hadi sasa serikali ya kitaifa inapinga kuwepo kwa vifo vilivyosababishwa na njaa, wakati serikali za majimbo zinathibitisha kutokea kwa vifo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini muwakamate chiefs waliosema watu katika vijiji yao wamekufa kwa njaa, wewe na wenzako huwa mnasema Kenya kuna Uhuru wa kujiekeza hamfichi kitu, huo Ndio Uhuru wa kujiekeza?PENGINE HAWAKUFARIKI MAANA MAITI ZENYEWE HAZIKUPATIKANA
Wewe ni wa wapi? Watoto gani wa Tz wanakufa? Tani 600 zilizopelekwa ni nyingi sana? Unajua Kikwete alitoa tani ngapi? 8000.Nyinyi manyang'au hamjui;
1.Tanzania katoa msaada wa chakula kwa mtoto wa jirani huku wake anakufa.
2. Washenzi nyie wakenya hamjui serikali ya jiwe kajenga viwonder 4,600 na kuajiri watanzania 36,000...do the math.
3. Hamjui magufuthi kaongea na Angela Merkel jana kwa njia ya simu? sijui walitumia kiswahili, kijerumani au kiingereza joto la jiwe uwanja ni wako.
It's true they might have died from other causes but not hunger, for instance I saw in one of the news bulletin that an 80yrs old died when he had gone to look for food while there were a lot of healthy goats in his home,his grandchildren were very healthy too, how on earth an 80yrs goes out to look for food and yet they are goats in the homestead? I agree with the government, they are not dying because of hunger but other ailments causing their deaths.PENGINE HAWAKUFARIKI MAANA MAITI ZENYEWE HAZIKUPATIKANA
Kwa sababu walitoa false information regarding persons life.Kwanini muwakamate chiefs waliosema watu katika vijiji yao wamekufa kwa njaa, wewe na wenzako huwa mnasema Kenya kuna Uhuru wa kujiekeza hamfichi kitu, huo Ndio Uhuru wa kujiekeza?
Sent using Jamii Forums mobile app
80yrs old went to LOOK FOR food? Not BUY food?It's true they might have died from other causes but not hunger, for instance I saw in one of the news bulletin that an 80yrs old died when he had gone to look for food while there were a lot of healthy goats in his home,his grandchildren were very healthy too, how on earth an 80yrs goes out to look for food and yet they are goats in the homestead? I agree with the government, they are not dying because of hunger but other ailments causing their deaths.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi natumia app napata headings za majukwaa yote.Castr habari kama hizo nimeweka hapo pamoja na ya viwonder nimezitoa pale jukwaa la siasa na kuchapishwa magazetini ya huko danganyika ila huwezi yajua hayo kama unakesha pande ya Kenya. Wewe kweli ni mtanzagiza anayeishi Tanzagiza?
That call between Magufuli and Markel was about the massive fertiliser plant in Africa over 2 US billion, hiyo ndio itawasaidia muondokane na njaaNyinyi manyang'au hamjui;
1.Tanzania katoa msaada wa chakula kwa mtoto wa jirani huku wake anakufa.
2. Washenzi nyie wakenya hamjui serikali ya jiwe kajenga viwonder 4,600 na kuajiri watanzania 36,000...do the math.
3. Hamjui magufuthi kaongea na Angela Merkel jana kwa njia ya simu? sijui walitumia kiswahili, kijerumani au kiingereza joto la jiwe uwanja ni wako.
Apo no 3 ndio kumedhihirisha jinsi mko obsessed Na Magu...lugha iliotumika wala haikuhusu sana...wewe na kingereza chako mob mbona bado unahemea mipiraNyinyi manyang'au hamjui;
1.Tanzania katoa msaada wa chakula kwa mtoto wa jirani huku wake anakufa.
2. Washenzi nyie wakenya hamjui serikali ya jiwe kajenga viwonder 4,600 na kuajiri watanzania 36,000...do the math.
3. Hamjui magufuthi kaongea na Angela Merkel jana kwa njia ya simu? sijui walitumia kiswahili, kijerumani au kiingereza joto la jiwe uwanja ni wako.
Hahahaha, wakati county government zimekiri kutokea vifo katika vijiji vyao, who knows better on what is happening on the ground between counties and Central Governments?. Who is suppose to decide which is false and which is correct information?. There is no freedom in Kenya, hopefully they will not kill them like Jacob Juma, Chris Msando, and many others
Tanzania ipi inateketea?