joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Wakenya wengi kama kawaida yao wamekua wakihisifu kwamba Kenya kuna Uhuru wa kujiekeza, kwamba watu wapo huru kutoa taarifa zozote.
Serikali ya Kenya imewakamata na kuwaweka ndani viongozi wote wa vijiji waliotoa taarifa ya watu waliokufa kutokana na njaa kwa madai kwamba wametoa habari za uongo za kuliaibisha Taifa la Kenya, hadi sasa serikali ya kitaifa inapinga kuwepo kwa vifo vilivyosababishwa na njaa, wakati serikali za majimbo zinathibitisha kutokea kwa vifo.
Sent using Jamii Forums mobile app