heheee...napiga maziwa daily...unafikiria hku ni kule ukitaka kusherehekea siku ya kuzaliwa uite wana singeli unalipia kodi...mjengo wako unaulipia kodi...kiwanja chako unakilipia kodi...bado pumzi tu sasa...haki ya nani..magu nyorosha hao jamaa..sai wanajutia kukuchagua ila kimoyomoyo tu...we unadhani kenya hatuijui,huko kwenu even chai ya maziwa unailipia kodi,what a ****
Kalieni viti sio umbea, ya Kenya hamuyawezi ,hata mkeshe mkituchamba tutazidi kuwepo kumbuka roho mbaya haijengi mtazidi kuibeza Kenya lakini wakenya hawana muda wenu .acha hasira mungiki
chai ya maziwa?
Acha roho mbaya ewe albino eater,of all the meat? Unaamua ule zeruzeru?acha hasira mungiki
chai ya maziwa?
hao redcross wameumbuka basi...ilikuwa dili lao nikuomba msaada nje...serikali kumbe imeshawasoma na chakula kipo na wameshapelekewa...Rutto ndiye aliyetaja idadi kwamba ni watu 1.1M, acha kujifanya chizi. Tatizo kubwa ninyi Wakenya mlilonalo linalowasababishia nchi nyingi ziwachukie hapa Africa ni kujifanya mnajua kila kitu, ona sasa jinsi unavyoikosoa Red Cross ambao wao Ndio kazi yao waliyosomea, wao wapo huko field kila siku, leo Wewe hapo Kibera hujawahi kufika hata Jogoo road, unawakosoa na kuonyesha hawajui lolote Ila Wewe ndiye uliyejua kila kitu, bure kabisa Wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa akili yako ya kinyang'au unafikiri wajerumani nao wanashobokea Kiingereza kama mlivyo huko Kenya, ha ha ha.....3. Hamjui magufuthi kaongea na Angela Merkel jana kwa njia ya simu? sijui walitumia kiswahili, kijerumani au kiingereza joto la jiwe uwanja ni wako.
Hahahaha, ili mtu asemekane Amekufa kwa njaa unataka uone dalili Ipi? ndugu na jamaa wa hao waliokufa, na hao machiefs wamepata misiba mingi tu na wanajua vizuri sana sababu za vifo vya wapendwa wao kuliko ninyi mliopo Nairobi.Yeah,that is why I can't agree with those local chiefs, deaths have been reported, but you can't really link them to the drought situation in the country for instance if you went around Kenya today you will find many burials happen but we can't just say because there's a burial or a funeral somewhere then it's a hunger caused death ,that wouldn't be true.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi yule rais Ufaransa alivyokuja Kenya alitumia lugha gani?, Watumwa wa wazungu ninyi, "Kenya not yet Uhuru", hata Julius Malema anajua hivyoKwa akili yako ya kinyang'au unafikiri wajerumani nao wanashobokea Kiingereza kama mlivyo huko Kenya, ha ha ha.
na watanzania pia tunajuwa hawashobokei kingereza...ila wanatamani sana kukijua...jibu swali..walitumia lugha gani...manake wote hawashobokei kingereza...Kwa akili yako ya kinyang'au unafikiri wajerumani nao wanashobokea Kiingereza kama mlivyo huko Kenya, ha ha ha.
Jione, hata hapa JF naona kauli mbiu ni 'where we dare to talk openly' kwani hicho ni kisukuma? Alafu nasikia mjerumani aliwatawala kwa muda mrefu ila hata kuomba maji kwa kijerumani hamjui, matoast wakubwa nyie! [emoji1]Kwa akili yako ya kinyang'au unafikiri wajerumani nao wanashobokea Kiingereza kama mlivyo huko Kenya, ha ha ha.
macron kaongea kingereza tena safi kabisa ..kumbe kifaransa hukitumia nyumbani tu hku wakijifunza kingereza...Hivi yule rais Ufaransa alivyokuja Kenya alitumia lugha gani?, Watumwa wa wazungu ninyi, "Kenya not yet Uhuru", hata Julius Malema anajua hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
wajue kijerumani wapi...kw akli zipi...ubongo wao unawaza uswazi tu na historia wala si mambo yanayoendelea duniani...sasa mkulu hajui kingereza ndio manake anakwepa mikutano na kwenda nje...lugha ni balaaa...Jione, hata hapa JF naona kauli mbiu ni 'where we dare to talk openly' kwani hicho ni kisukuma? Alafu nasikia mjerumani aliwatawala kwa muda mrefu ila hata kuomba maji kwa kijerumani hamjui, matoast wakubwa nyie! [emoji1]
Usimfananishe rais Macron na Jiwe. Macron anaongea kifaransa, kiingereza na lugha zingine kadhaa za kimataifa kwa ufasaha. Sio kama huyu mzee wenu ambaye alisomea Phd yake kwa kiingereza ila jina bye bye alilitafsiri kama nunua nunua. 😀Hivi yule rais Ufaransa alivyokuja Kenya alitumia lugha gani?, Watumwa wa wazungu ninyi, "Kenya not yet Uhuru", hata Julius Malema anajua hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Angel Nickel, Xi jin Pin na waziri Mkuu wa Japan hutumia lugha ya gani vile?, "Kenya not yet Uhuru", hata Julius Malema analijua hiloUsimfananishe rais Macron na Jiwe. Macron anaongea kifaransa, kiingereza na lugha zingine kadhaa za kimataifa kwa ufasaha. Sio kama huyu mzee wenu ambaye alisomea Phd yake kwa kiingereza ila jina bye bye alilitafsiri kama nunua nunua. 😀
Kwahivyo ufaransa sio taifa huru kwasababu rais Macron anajua kiingereza? Kiingereza nacho kinawakanganya kwasababu masomo yenu huwa yanaishia darasa la saba? Shukran kwa kunifafanulia, nilikuwa najiuliza maswali mengi sana.Macron hutuba zake zote hutumia kifaransa hata akihutubia UN, kana hapo kwenu ametumia English, labda kwasababu alijua Kenya Bado ni koloni la waingereza Kwahiyo hakutaka kuwakwaza.
Tanzania primary school tunatumia Kiswahili, primary school ndiyo msingi wa kila kitu, wale watakaokwenda secondary(wakati huo walikua chini ya 10%) ndio walitumia English, sasa hivi tunabadilisha hata sekondari Watatumia Kiswahili, Sisi ni taifa huru sio kama Kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenu ninyi kwenda shule maana yake ni kujua kiingereza lakini hamuwezi kutumia Elimu kupambana na njaa, Onyesha ni lini Macron ametumia kiingereza akiwa Ufaransa, UN au EU.Kwahivyo ufaransa sio taifa huru kwasababu rais Macron anajua kiingereza? Kiingereza nacho kinawakanganya kwasababu masomo yenu huwa yanaishia darasa la saba? Shukran kwa kunifafanulia, nilikuwa najiuliza maswali mengi sana.
Julius Malema mwenyewe huwa anatumia kiingereza. Alafu unawakosea sana heshima hao Nickel na Shinzo Abe unapowafananisha na Jiwe mzee wa kijijini. Boss, hata Kiswahili pia kinakukanganya? Siutumie kisukuma basi.Angel Nickel, Xi jin Pin na waziri Mkuu wa Japan hutumia lugha ya gani vile?, "Kenya not yet Uhuru", hata Julius Malema analijua hilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiingereza sio ishu kubwa Kenya, kiingereza kinatumiwa kufunza kutoka shule ya chekechea, sasa unategemea mtu ambaye amesoma Kenya asielewe kiingereza? Huko ufaransa wanajifunza lugha nyingine pia, kiingereza, kijerumani, n.k. kama watoto wa viongozi wenu wote wanavofanya.Kwenu ninyi kwenda shule maana yake ni kujua kiingereza lakini hamuwezi kutumia Elimu kupambana na njaa, Onyesha ni lini Macron ametumia kiingereza akiwa Ufaransa, UN au EU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninyi Kiswahili Ndio lugha yenu ya Taifa, lakini hata rais wenu akienda China ambako hata hawajui English, Bado anazungumza kiingereza, ninyi ni Bado Watumwa, Julius Malema Kiingereza ni lugha ya Taifa ya nchi yake, ni sawa akitumia EnglishKiingereza sio ishu kubwa Kenya, kiingereza kinatumiwa kufunza kutoka shule ya chekechea, sasa unategemea mtu ambaye amesoma Kenya asielewe kiingereza? Huko ufaransa wanajifunza lugha nyingine pia, kiingereza, kijerumani, n.k. kama watoto wa viongozi wenu wote wanavofanya.