Viongozi wa vijiji waliotoa taarifa za watu waliokufa kwa njaa, wakamatwa na polisi.

RSA wana lugha nane za taifa, unakukariri vitu ambavyo huvielewi hata kidogo. Kiingereza kinawapa stress sana. Mahikimu wenu wanatoa hukumu zao kwa kiingereza chao kibovu, wabunge wenu huwa wanajadili sheria ambazo zimeandikwa kwa kiingereza. Mbaya zaidi ni kwamba wakifungua midomo yao huwa wanachapia kiswahili kibovu huku 'l' na 'r' wakiwa wamezichanganya hadi wanakera. Hamjielewi kabisa, mpo mpo tu na usanii wenu.
 
Jinga Sana wewe, South Africa lugha kubwa inayounganisha nchi ni English, ila kuna lugha zingine ambazo pia zinatambuliwa kuwa ni lugha rasmi, universal National language ni English.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa! πŸ˜€ Uwe unatia bidii ya ku'google' kabla ya kukurupuka, sio baada ya kutupia pumba.
Nimekaa Cape Town miaka mawili, Kule Wanatumia English na Xosa, Jimbo la Kwazulu Natal, Wanatumia English na Zulu, vivyohivyo wazungu Wanatumia English na Africana. Wewe upo hapo Kibera hata Namanga hujafika unaleta ujuaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeanza longo longo za kutafuta kiki sio? Unaringia watu kwamba umezuru bara la Afrika tu? Hujatia mguu wako nje ya bara hili, hapana, nje ya Tz, nakuhakikishia hilo, sio kwa hicho kiingereza na kiswahili chako kibovu cha Kariakoo. Nimekatiza kote kote bara hili hadi na nje, na kwa taarifa yako kule maeneo ya Namanga ndio kwetu kabisa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

watz wanaabudu waafrika kusini sana.
 
jiwe yeye UN hutumia lugha gani...heheee...unaumwa vile macron kaongea kingereza tena kisafi...sasa sijui akija tanzania wataelewana vp na mkulu
 
Kiongozi wa county ni Nani? Hebu nitajie mmoja aliesema kuna vifo Kwa sababu ya njaa? Huyo chief alikua amelewa so he was in his capacity when he said that there are deaths due to hunger.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na watanzania pia tunajuwa hawashobokei kingereza...ila wanatamani sana kukijua...jibu swali..walitumia lugha gani...manake wote hawashobokei kingereza...

au waliongea kibubu...bwahaaaa
Nakwambia ni shida tupu,Nina rafiki wa kitanzania ambaye ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha dar-esSalaam anasomea sheria lakini akizungumza unavumilia tu kumsikiza ila ametia bidii Sana akijue vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wajue kijerumani wapi...kw akli zipi...ubongo wao unawaza uswazi tu na historia wala si mambo yanayoendelea duniani...sasa mkulu hajui kingereza ndio manake anakwepa mikutano na kwenda nje...lugha ni balaaa...
ze..ze..ze
Hahahaha ,kuwa tayari kupimwa tezi dume na makonda Kwa huu ukweli mkulu atakukujia mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana waS.A huwa wanawaita makwerekwere. Wanaingia nchi za wenyewe bila formular, sio kuenda kusoma wala kufanya biashara bali ni kuomba omba, kuchafua miji na kuwa vijakazi wa nyumba.

Teh teh teh tihiii
Hivi unajua ni kina nani waliombiwa ili waingie huko na UARABUNI lazima wawe na degree?
Na wajua kwa nini waliambiwa hivyo?
 
Teh teh teh tihiii
Hivi unajua ni kina nani waliombiwa ili waingie huko na UARABUNI lazima wawe na degree?
Na wajua kwa nini waliambiwa hivyo?
Teh teh tihii tihii, ghafla 'wakombozi bonoko' wamegeuka wakawa makwerekwere. [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…