Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
kafa na mtu leoMoyes kaanza kazi
Naona jibu sahihi la swali lako umelipata leo.Wanajf mliopo England na wengine wote mnaoijua soka popote mlipo , naomba mnifahamishe sababu hasa ya bodi ya wakurugenzi ya West Ham kumpa kazi kocha wa hovyo kabisa David Moyes.
Binafsi nimejaribu kupekua huku na huko sijaambulia chochote .
Natanguliza shukrani .
Duh! Mara hii mmeishaanza kelele .Naona jibu sahihi la swali lako umelipata leo.
Mimi nahisi Big Sam na Moyes watafanikiwa kuzibakisha Everton na West Ham kwenye ligi kuu.west ham toka kushuka daraja mpaka sasa wapo nafasi ya 11.
Watu wanakaririLeo kamuumiza mtu 4:1, bado ni kocha mbovu?