Viongozi wa West Ham wametumia vigezo gani kumpa kazi kocha mbovu David Moyes ?

Viongozi wa West Ham wametumia vigezo gani kumpa kazi kocha mbovu David Moyes ?

Wanajf mliopo England na wengine wote mnaoijua soka popote mlipo , naomba mnifahamishe sababu hasa ya bodi ya wakurugenzi ya West Ham kumpa kazi kocha wa hovyo kabisa David Moyes.

Binafsi nimejaribu kupekua huku na huko sijaambulia chochote .

Natanguliza shukrani .
Naona jibu sahihi la swali lako umelipata leo.
 
Leo kamuumiza mtu 4:1, bado ni kocha mbovu?
 
Moyes anamudu timu zisiko kuwa na pressure kubwa ndio maana Everton yake ya wachezaji wa bei ndogo iloweza kusumbua vigogo wachezaji wake walikuwa wa kawaida sana.
 
Moyes sasa timu yake ipo Nafasi ya 11 na bado Twende Moyes .watu weeeeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom