HarunaGSM kundi lake ni Molinga, Morison, Kocha na Nugaz
Kaeni ivyo ivyo na ujinga wenu eti mabingwa wa kihistoria. Wenzenu soon tunatangaza ubingwa nyie bakini na historia yenu!Ka thread ka Mikia kujifariji. Historical Champions hatuna shida kabisa.
Mechi kati yetu tumewashinda zaidi. Magoli tumewafunga zaidi.
Mengine ni kelele za kujifariji. Mkubwa ni mmoja tu Tanzania - Yanga!
We bwege seriously.Kaeni ivyo ivyo na ujinga wenu eti mabingwa wa kihistoria... wenzenu soon tunatangaza ubingwa nyie bakini na historia yenu!
Heshima ya rivel inakuja kwenye champion league... pamoja na kuwa hakubeba kombe la ligi kwa miaka mingi tu... lkn tunapokuja kwenye vpl liver heshima yake imeshuka mpaka kufikia watu kusema tangia ianze kuitwa vpl liver hajabeba.. kwa sasa wewe unaona Liverpool inaheshimika hii ni baada ya kuelekea ubingwa msimu huu lkn tofauti na hapo ilikuwa ikiongelewa vibaya misimu iliyopita... kaeni ivyo ivyo na historia zenu siku mambo yamebadilika na soon mnyama anatangaza ubingwa!We bwege seriously.
Miaka mingapi Liverpool hajabeba ndoo EPL? Lakini heshima yake kubwa Duniani kulilko Man City.
Mwaka huu mkibeba ndoo itakuwa mule mule. Yanga wa kwanza kubeba three consecutive years. Hakuna jipya.
Labda miaka 20 ijayo mtajilinganisha na Yanga. Kwa sasa mnalipa madeni na kufanya catchup.
Yanga ya kutembelea rim kweli?Mmewasafirisha wachezaji safari ndefu mkijua basi bovu....gari limepata pancha mara mbili, kwanini hambadilishi tairi kama zimechoka!
Mbaula imechoka kinomaMmewasafirisha wachezaji safari ndefu mkijua basi bovu....gari limepata pancha mara mbili, kwanini hambadilishi tairi kama zimechoka!
Inashangaza molinga anakwea pipa kwenda huko.Walikosa kosa ajali ,timu kama Yanga hata haimudu nauli ya ndege ,GSM kweli noma, laliga wanajua hayo?
Mpaka huruma...Mbaula imechoka kinoma
View attachment 1477015
Ukimsikiliza Nugaz utadhani timu ya ulaya.Mbaula imechoka kinoma
View attachment 1477015