Viongozi wa Yanga acheni kucheza na roho za wachezaji wenu

Viongozi wa Yanga acheni kucheza na roho za wachezaji wenu

Ka thread ka Mikia kujifariji. Historical Champions hatuna shida kabisa.

Mechi kati yetu tumewashinda zaidi. Magoli tumewafunga zaidi.

Mengine ni kelele za kujifariji. Mkubwa ni mmoja tu Tanzania - Yanga!
 
Kaeni ivyo ivyo na ujinga wenu eti mabingwa wa kihistoria. Wenzenu soon tunatangaza ubingwa nyie bakini na historia yenu!
 
Kaeni ivyo ivyo na ujinga wenu eti mabingwa wa kihistoria... wenzenu soon tunatangaza ubingwa nyie bakini na historia yenu!
We bwege seriously.

Miaka mingapi Liverpool hajabeba ndoo EPL? Lakini heshima yake kubwa Duniani kulilko Man City.

Mwaka huu mkibeba ndoo itakuwa mule mule. Yanga wa kwanza kubeba three consecutive years. Hakuna jipya.

Labda miaka 20 ijayo mtajilinganisha na Yanga. Kwa sasa mnalipa madeni na kufanya catchup.
 
Heshima ya rivel inakuja kwenye champion league... pamoja na kuwa hakubeba kombe la ligi kwa miaka mingi tu... lkn tunapokuja kwenye vpl liver heshima yake imeshuka mpaka kufikia watu kusema tangia ianze kuitwa vpl liver hajabeba.. kwa sasa wewe unaona Liverpool inaheshimika hii ni baada ya kuelekea ubingwa msimu huu lkn tofauti na hapo ilikuwa ikiongelewa vibaya misimu iliyopita... kaeni ivyo ivyo na historia zenu siku mambo yamebadilika na soon mnyama anatangaza ubingwa!
 
Mmewasafirisha wachezaji safari ndefu mkijua basi bovu....gari limepata pancha mara mbili, kwanini hambadilishi tairi kama zimechoka!
Yanga ya kutembelea rim kweli?
IMG-20200613-WA0029.jpg
 
Back
Top Bottom