Wanachama na wapenzi wa Yanga hawatawaelewa kabisa.
Kwanza Simba, Tff na Bodi ya ligi watakuwa wanawacheka na kuwapiga vijembe kuwa ndio maana mlikuwa mnaogopa kucheza.
wakati huo wachambuzi wa mrengo wa Simba kina Jemedari Saidi, Ngereza na wengine watakuwa wanaichambua Yanga kwa dharaaaau.
Mashabiki wa Yanga watatamani laiti timu isingecheze.
Yanga isipocheza itaonekana ni shujaa sana na itabaki kuwa historia na kumbukumbu ya kutukuka.