Viongozi wa Yanga mmetutia aibu huko Botswana

Viongozi wa Yanga mmetutia aibu huko Botswana

Sasa kwa nini viongozi wa Yanga wanalalamika? Ni dhahiri kwamba walipata viza za wachezaji hao baada ya kulipia (japo wanalalamika 'kumwaga' fedha). Nikisoma malalamiko yao ni kwamba wanahoji ni kwa nini walazimishiwe viza ilhali ni wachezaji wa Yanga? Wanajaribu kulinganisha wazimbwabwe na warundi/wanyarwanda. Kumbuka hawakuzuiwa ila walitakiwa kufuata taratibu za viza....

Huyu kiongozi aliyelalamika hana uelewa wa taratibu za uhamiaji.
Hizo ni tafsiri zako kwa mujibu wa walivyoripotiwa viongozi hao. Lisilopingika ni kwamba hakukuwa na tatizo kwa wachezaji hao kuondoka Dar bila ya Visa, wala hakuna tatizo kwa wachezaji hao kutakiwa kulipia Visa Gaberone. Mtoa mada aliyataja hayo kuwa ndiyo kiini cha udhalilishaji aliouzungumza. Wewe unahisi kwamba udhalilishaji ni kwa viongozi kufananisha Wazimbabwe wa BDN na Warundi, Waliberia na Wanyarwanda wa Yanga. Naweza kukubaliana nawe iwapo itathibitika viongozi hao wamefanya hivyo, ingawa hiyo ni mada tofauti. Siwezi kukubaliana na mtoa mada kwa sababu kasoro ya dhana yake iko kweupeni, haihitaji tochi!
 
Na kama walijua yote hayo kwa nini walianza kulalamika kwamba wanafanyiwa hujuma na hadi kufikia kuanza kutoa ulinganisho kwamba wao waliruhusu tu pamoja na kwamba kulikuwa na wazimbabwe? hivi hawa Yanga wanahusika na mambo ya uhamiaji kumbe? Na baadaye wakamwaga hela ili waruhusiwe ina maana hao viongozi hawakujua taratibu zikoje?
Mimi sizungumzii kiongozi gani kasema nini au anajua nini, nazungumzia mtoa mada kakosea nini kwenye dhana yake kwamba kuondoa wachezaji Dar bila ya Visa ni udhalilishaji. Kwa sababu ikishathibitika kwamba alikosea kwenye dhana ya hoja yake ya msingi, mjadala wote uliosalia ni jamvi la ushabiki na utani wa wapenzi wa Yanga dhidi ya watani wao wa Simba.. Mimi si miongoni mwa yeyote kati ya hao.
 
Hizo ni tafsiri zako kwa mujibu wa walivyoripotiwa viongozi hao. Lisilopingika ni kwamba hakukuwa na tatizo kwa wachezaji hao kuondoka Dar bila ya Visa, wala hakuna tatizo kwa wachezaji hao kutakiwa kulipia Visa Gaberone. Mtoa mada aliyataja hayo kuwa ndiyo kiini cha udhalilishaji aliouzungumza. Wewe unahisi kwamba udhalilishaji ni kwa viongozi kufananisha Wazimbabwe wa BDN na Warundi, Waliberia na Wanyarwanda wa Yanga. Naweza kukubaliana nawe iwapo itathibitika viongozi hao wamefanya hivyo, ingawa hiyo ni mada tofauti. Siwezi kukubaliana na mtoa mada kwa sababu kasoro ya dhana yake iko kweupeni, haihitaji tochi!

Anaefanabisha kuingia kwa wachezaji wa sadc bila viza ana shida ya uelewa.

“Hizi ni siasa za mpira, Yanga tumeshangazwa na hili tuliuliza mapema kule katika ofisi zao za ubalozi wa Botswana jijini Dar es Salaam hatukuambiwa kama kuna hili la viza tunatakiwa kulifanya.

Hata wao wakati tunawapokea kule kwetu walikuwa na wachezaji wageni kutoka Zimbambwe, hawakufanyiwa haya, tumelazimika kutoa fedha nyingi ili kuwaondoa wachezaji wetu pale uwanjani,” alisema Tiboroha.
 
Anaefanabisha kuingia kwa wachezaji wa sadc bila viza ana shida ya uelewa.

"Hizi ni siasa za mpira, Yanga tumeshangazwa na hili tuliuliza mapema kule katika ofisi zao za ubalozi wa Botswana jijini Dar es Salaam hatukuambiwa kama kuna hili la viza tunatakiwa kulifanya.

Hata wao wakati tunawapokea kule kwetu walikuwa na wachezaji wageni kutoka Zimbambwe, hawakufanyiwa haya, tumelazimika kutoa fedha nyingi ili kuwaondoa wachezaji wetu pale uwanjani," alisema Tiboroha.
Kama kweli kiongozi huyo alisema hivyo, narudia tena kwamba nakubaliana na wewe. Ila mimi binafsi huwa sizipi uzito taarifa za baadhi yavyombo vyetu vya habari, hasa vinaponukuu watu. Bila ya kusikia mahojiano yenyewe, nitalazimika kwanza kumsikia mnukuliwa anasemaje juu ya hili.
 
  • Thanks
Reactions: RR
Kwanza unavyosema viongozi Wa yanga wanatakiwa wawe na elimu sijui elimu unayosema wewe ni hipi labda ya mwezini sisi siyo kama Simba

ndugu yangu kwakukusaidia 2 Mwenyekiti wetu kasoma Chuo cha watu vichwa America makamu Sanga ni ingénie huyo Katibu ni mtu mojawapo kati ya Wasomi nchi hii na nimtu Wa mpira sasa usikurupuke tu hoo yanga chagueni Wasomi !!!!

Hizo zi naweza kuwa ni fitna za mpira ili kuwachanganyà wewe hangalia ya kwako unacheza na prison yanga habari nyingine utaumia bure.

Heeeeee...makubwaaaa...Jamaa katoa fact na bado unadai ni fitna
 
Back
Top Bottom