Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Kama kweli mnataka tufanye vizuri kimataifa tuache kuhonga marefa.
Tunafanya sajili kubwa na za gharama, tunaajiri waalimu na kuwalipa mishahara mikubwa sasa kwa nini tumeendekeza bahasha na uchawi?
Kwa mwaka huu tumechelewa hatuwezi kuwatoa wale waarabu, sasa tuanzie hapa kujiandaa na mashindano ya mwakani tuache matokeo ya uwanjani yaamue ili tujue ubora wa timu yetu, na siyo kutegemea matokeo ya nje ya uwanja ili tuonekane sisi ni bora kumbe siyo.