Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Sio kila mahali uoneshe ujinga wako kuna muda soma halafu tafakariWewe ni popoma plus na uko biased Jana hukuona red card za mchongo?
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Na wewe hutaki kuhongwa?Kama kweli mnataka tufanye vizuri kimataifa tuache kuhonga marefa.
Tunafanya sajili kubwa na za gharama, tunaajiri waalimu na kuwalipa mishahara mikubwa sasa kwa nini tumeendekeza bahasha na uchawi?
Kwa mwaka huu tumechelewa hatuwezi kuwatoa wale waarabu, sasa tuanzie hapa kujiandaa na mashindano ya mwakani tuache matokeo ya uwanjani yaamue ili tujue ubora wa timu yetu, na siyo kutegemea matokeo ya nje ya uwanja ili tuonekane sisi ni bora kumbe siyo.
Nilishavuka level za kubishana na mashoga kama wewe.Sio kila mahali uoneshe ujinga wako kuna muda soma halafu tafakari
Namuogopa sana mtu anaerusha matusi mtandaoni kwa mtu usiemjua.Nilishavuka level za kubishana na mashoga kama wewe.
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
kwa hiyo sasa hivi upo level ya kubishana na mashoga wa level ganiNilishavuka level za kubishana na mashoga kama wewe.
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
5 mmewafunga wachezaji 7 halafu mnashangilia..Vibonde waliopigwa na waliowahi kupigwa tano
arsenal 5-0 N.forest
simba 5-0 mtibwa sugar
simba 5-0 yanga
Mkibisha naleta na wafungaji
Swali langu ni kwamba kwenye ligi ya bongo ni mechi za Yanga tu ndio zimekua na maamuzi ya utata na maamuzi yote yana inufaisha Yanga? hakuna siku Yanga ime athirika na hayo maamuzi mabovu?Kama kweli mnataka tufanye vizuri kimataifa tuache kuhonga marefa.
Tunafanya sajili kubwa na za gharama, tunaajiri waalimu na kuwalipa mishahara mikubwa sasa kwa nini tumeendekeza bahasha na uchawi?
Kwa mwaka huu tumechelewa hatuwezi kuwatoa wale waarabu, sasa tuanzie hapa kujiandaa na mashindano ya mwakani tuache matokeo ya uwanjani yaamue ili tujue ubora wa timu yetu, na siyo kutegemea matokeo ya nje ya uwanja ili tuonekane sisi ni bora kumbe siyo.
Yanga walikuwa wangapi
Jina ulilomuita huyo UNASTAHILI WEWE. TOKA 1998. WAJINGA WAKUBWA NYIEWewe ni popoma plus na uko biased Jana hukuona red card za mchongo?
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Wakati yanga anakula gwala walikuwa 7?
Jamani kuanzia leo ifahamike hivyo.Afadhali wewe unajitambua. Nina kuongeza kwa wale wawili yaani Kikwete na Sunday Manara sasa mmekuwa watatu
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app