olimpio
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 418
- 866
Nina mwamini sana Warioba na nilidhani angefikiria kuhamia Chadema , lakini kupanga mipango ya kuhamia ACT naona atakua anapoteza muda.
Siwaelewi chadame lakini kwa significance ya kuhamia upinzani nilidhani angehamia chadema. Kwa wasiofahamu , kuna kundi la wazee CCM wanafinalize mazungumzo ya kuhamia upinzani ,wazee hao ni Mzee Butiku, Warioba , Ali Karume, Shangazi Karume and the list goes on.
Tatizo lililochelewesha ni msimamo wa ACT kuunga mkono hoja ya serikali kwenye bandari.
Mzee butiku hataki kabisa chama kinachounga mkono uwekezaji huu wa bandari ,lakini wenzake wako tayari.
Sijajua bado kwa nini mzee Warioba hataki kujiunga na chadema .
Rai Yangu, Wazee wangu msihame , mawimbi haya yanapita ,chama bado kinawahitaji sana