S Seleman Mwampyate Member Joined Jun 4, 2024 Posts 6 Reaction score 1 Jun 4, 2024 #1 Viongozi wakiacha kujipigania wao na familia zao (kununua magari ya kifahari, ziara za gharama nje ya nchi) wakapigania taifa kwa dhati hatutakuwa watumwa wa misaada ya kiteknolojia, fedha, na mengineyo.
Viongozi wakiacha kujipigania wao na familia zao (kununua magari ya kifahari, ziara za gharama nje ya nchi) wakapigania taifa kwa dhati hatutakuwa watumwa wa misaada ya kiteknolojia, fedha, na mengineyo.