uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,085
- 2,996
Hili ni jambo jema,ngano njema iwekwe ghalani na makapi yachomwe moto.Hakuna anaegawanyika bali mlango /milango iko wazi kwa anaetaka kutoka. Hakuna mbinafsi atakaebaki, waondoke
Kweli kabisa,lilibeba kama bendera ya uasi vilehili kundi la g55 liliwahi kuibuka miaka ila lilifeli natumai hata hili la sasa halitafanikiwa
wasikubali vipi na tayari chadema imegawanyika gentleman?Salaam wakuu,
Imenibidi niingie uringoni kutoa mawazo yangu kuhusu harakati za uchaguzi mkuu ulioko mbele yetu.
Binafsi naamini hakuna jambo zuri lisilokuwa na upinzani. Binafsi naamini hoja ya NO REFORMS NO ELECTION imepitia vikao na ngazi zote za chama na kuangalia mazuri na mabaya yake na kuangalia namna ya kuyakabili.
Si busara mtu yeyote wa ngazi yeyote kwenye uongozi wa chama kuibuka na hoja nyingine tofauti na hii.
Maadam watanzania tumewaelewa, tunaomba msiyumbishwe na mawazo mbadala mengine yanalenga kuwagawa ili kuwakwamisha.
Kuhusu kundi linalojiita G55, mimi binafsi naona wapewe nafasi au ya kubaki kwenye chama waunge mkono hoja iliyopo mezani,au wapewe uhuru wa kujiunga na vyama vingine. kuondoka kwao kutaacha nafasi ya wengine kujiunga na chama,kuliko kuwa na upinzani wa ndani ambao ni hatari ya maendeleo.
Ninawatakia kutafakari vyema, watanzania wengi tumechoshwa na maigizo ya chaguzi, tuanatamani kuwa na chaguzi zenye maana ili anayeshinda ashinde kwa haki na watu wote tuiopo pembeni tuseme uchaguzi ulikuwa wa haki.
Na lengo langu kuweka huu uzi nilijua kuna wanaosaga kunguni, sasa tupo tunaopiga deki na kupulizia pafumu,lazima mwaka huu kieleweke.wasikubali vipi na tayari chadema imegawanyika gentleman?
kunguni kivipi gentleman kwenye jambo la wazi na bayana kama mgawanyiko ulioko ndani ya chadema?Na lengo langu kuweka huu uzi nilijua kuna wanaosaga kunguni, sasa tupo tunaopiga deki na kupulizia pafumu,lazima mwaka huu kieleweke.
Mbona huongelei mgawanyiko uliokuwa ndani ya ccm mwaka 2015,baada ya waliojitenga kuondoka ccm ilikufa?kunguni kivipi gentleman kwenye jambo la wazi na bayana kama mgawanyiko ulioko ndani ya chadema?
kwamba hata kwenye ukweli huo unashupaza shingo, dah?
kweli ubishi ni kazi rahisi sana aise
andikia uzi gentleman,Mbona huongelei mgawanyiko uliokuwa ndani ya ccm mwaka 2015,baada ya waliojitenga kuondoka ccm ilikufa?
Nakubishia sababu wewe ni mmojawapo wa wasaga kunguni.sageni ila nakuhakikishia mtasaga hadi zitaisha huko mnakozitoa.
Chadema ikifa si ndo furaha ya ccm gentlemanandikia uzi gentleman,
but chadema kuna mpasuko mkubwa unao elekea kua mwanya na paadae pengo
CcM wanapenyeza mapesa kila siku, usifanye madharau na AbduliSalaam wakuu,
Imenibidi niingie uringoni kutoa mawazo yangu kuhusu harakati za uchaguzi mkuu ulioko mbele yetu.
Binafsi naamini hakuna jambo zuri lisilokuwa na upinzani. Binafsi naamini hoja ya NO REFORMS NO ELECTION imepitia vikao na ngazi zote za chama na kuangalia mazuri na mabaya yake na kuangalia namna ya kuyakabili.
Si busara mtu yeyote wa ngazi yeyote kwenye uongozi wa chama kuibuka na hoja nyingine tofauti na hii.
Maadam watanzania tumewaelewa, tunaomba msiyumbishwe na mawazo mbadala mengine yanalenga kuwagawa ili kuwakwamisha.
Kuhusu kundi linalojiita G55, mimi binafsi naona wapewe nafasi au ya kubaki kwenye chama waunge mkono hoja iliyopo mezani,au wapewe uhuru wa kujiunga na vyama vingine. kuondoka kwao kutaacha nafasi ya wengine kujiunga na chama,kuliko kuwa na upinzani wa ndani ambao ni hatari ya maendeleo.
Ninawatakia kutafakari vyema, watanzania wengi tumechoshwa na maigizo ya chaguzi, tuanatamani kuwa na chaguzi zenye maana ili anayeshinda ashinde kwa haki na watu wote tuiopo pembeni tuseme uchaguzi ulikuwa wa haki.
chama cha siasa ni mali ya umma gentleman,Chadema ikifa si ndo furaha ya ccm gentleman
gentleman,CcM wanapenyeza mapesa kila siku, usifanye madharau na Abduli
Ni kweli usemacho gentleman, je ungependa kuona nini kinabadilika katika siasa zetu ili kuleta hayo maslahi mapana kwa watanzania?chama cha siasa ni mali ya umma gentleman,
sisi wataalmu wa bobevu wa siasa ni watu wa kushauri namna bora ya kufanya vyama vya siasa nchini kua vibrant na united kwa maslahi mapana ya taifa na furaha kwa waTanzania
wobobezi mlikuwa wapi,tangu 1992 vilipoanzishwa hadi leo tupo kwenye sintofahamu kubwa,ndo maana mwaka huu tumeamua kwenda na wanaotembea wabobezi endeleeni kubobea wala hatuna ugomvi na ninyichama cha siasa ni mali ya umma gentleman,
sisi wataalmu wa bobevu wa siasa ni watu wa kushauri namna bora ya kufanya vyama vya siasa nchini kua vibrant na united kwa maslahi mapana ya taifa na furaha kwa waTanzania
Abdul alikuwa na watu wake,safari hii atawafuata nje ya kambi.CcM wanapenyeza mapesa kila siku, usifanye madharau na Abduli
This time around, wabobezi wamabobea kwenye uchawa na praise team kwa kuimba chorus ya mama mama mama x3wobobezi mlikuwa wapi,tangu 1992 vilipoanzishwa hadi leo tupo kwenye sintofahamu kubwa,ndo maana mwaka huu tumeamua kwenda na wanaotembea wabobezi endeleeni kubobea wala hatuna ugomvi na ninyi
Kuna kitu muhimu cha kukumbuka kwenye mijadala hii,gentleman,
dhana na nadharia potufu ni mambo ya hovyo sana kwenye mijadala ya mambo ya msingi kitaifa