Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Gentleman,wobobezi mlikuwa wapi,tangu 1992 vilipoanzishwa hadi leo tupo kwenye sintofahamu kubwa,ndo maana mwaka huu tumeamua kwenda na wanaotembea wabobezi endeleeni kubobea wala hatuna ugomvi na ninyi
hakuna popote watakwenda wala hakuna wanchoweza kufanya wale wote wanao puuza mawaidha ya kitaalamu kuhusu uelekeo na hatua za kuchukua panapotokea mkwamo wa kisiasa kwenye nchi za kidemokrasia.
hata hivyo,
ni kosa kubwa sana la kisiasa,
kwa chama cha siasa kukwepa au kujitenga na michakato ya kidemokrasia kwa kujipumbaza na dhana potofu ya kwamba eti labda kunaweza kutokea muujiza fulani wakapata nafasi ya kuongoza taifa mbele ya vyama vingine vya siasa zaidi ya 20.
that will never ever happen

