Gentleman,wobobezi mlikuwa wapi,tangu 1992 vilipoanzishwa hadi leo tupo kwenye sintofahamu kubwa,ndo maana mwaka huu tumeamua kwenda na wanaotembea wabobezi endeleeni kubobea wala hatuna ugomvi na ninyi
Cdm wasimame na msimamo wa vikao halali wa NRNE, hao wahuni wa G55 waachwe wazunguke nchi nzima watakaa kwa kutulia tu. Na operations ya NRNE izidi kushika kasi maana inaeleweka vyema.Na lengo langu kuweka huu uzi nilijua kuna wanaosaga kunguni, sasa tupo tunaopiga deki na kupulizia pafumu,lazima mwaka huu kieleweke.
Binafsi wapinzani wa hii ni wale wanaotetea buyu lao la asali.unaamini NO NO.imepita ngazi zote za chama na sio uamuzi wa mwenyekiti?sasa upinzani unatoka wap
Gentleman,Kuna kitu muhimu cha kukumbuka kwenye mijadala hii,
Matengenezo ya mifumo ya uchaguzi ina manufaa kwa vyama vyote,tusijidanganye kwamba chama kimoja kitakaa madarakani milele.Tunapoona yaliyotokea sieraleon tusijidanganye kwamba hayawezi kutokea hapa kwetu.
Au upepo unawezageuka ukajikuta wewe ni chama cha upinzani. Mifumo ikiwa bora ni rahisi kurudi madarakani endapo sheria siyo kandamizi.
Ni kosa kubwa kudhani kuwa NO REFORMS NO ELECTION ni mkakati unaolenga kuwanufaisha vyama vya upinzani.
lakini pia ikumbukwe kwamba hata bila hii slogan hakuna kitu cha kumzuia Mungu kuwakomboa watu wake.
Nimesoma tu hii sentensi nikapata tafsiri sahihi ya tantalila,hivyo tuendelee kuwaunga mkono watanzania wenye mapenzi mema na nchi.entleman,
kwanza kabisa no reform no elections ni useless, nonsense, null and void agenda ya chama kimoja dhidi ya vyama vya siasa zaidi ya 20.
Gentleman,Nimesoma tu hii sentensi nikapata tafsiri sahihi ya tantalila,hivyo tuendelee kuwaunga mkono watanzania wenye mapenzi mema na nchi.
Ushangae eti adui yako anakutakia mema,lazima ujiulize maswali mara mbili mbiliChadema ikifa si ndo furaha ya ccm gentleman
Nami naheshimu mtazamo wako ila usiufanye kuwa ndio sera ya taifa ya uchaguzi.Gentleman,
uvivu na mihemko yako ni shida yako binafsi hainuhusu,
nimeleza maoni na mtazamo wangu kwa faida ya wadau waJF
Hii kauli hata mubarak wa misri alisema hivyo,mara ya mwisho nilimwona kwenye wheel chair sijui kama yupo hai bado.that will never ever happen
Vyama vya siasa viko vingi nchi hiiKuna kitu muhimu cha kukumbuka kwenye mijadala hii,
Matengenezo ya mifumo ya uchaguzi ina manufaa kwa vyama vyote,tusijidanganye kwamba chama kimoja kitakaa madarakani milele.Tunapoona yaliyotokea sieraleon tusijidanganye kwamba hayawezi kutokea hapa kwetu.
Au upepo unawezageuka ukajikuta wewe ni chama cha upinzani. Mifumo ikiwa bora ni rahisi kurudi madarakani endapo sheria siyo kandamizi.
Ni kosa kubwa kudhani kuwa NO REFORMS NO ELECTION ni mkakati unaolenga kuwanufaisha vyama vya upinzani.
lakini pia ikumbukwe kwamba hata bila hii slogan hakuna kitu cha kumzuia Mungu kuwakomboa watu wake.
Kosa walilolifanya hawawaliounda hili kundi,ni kujiita jina lililowahi kuwepo lakini halikuivisha chochote.COVID-19 wapo kwenye Hilo kundi la G55 au?kama wapo huko basi chadema imeshajifia tayariii
sifahamu kuhusu hilo gentleman,Hii kauli hata mubarak wa misri alisema hivyo,mara ya mwisho nilimwona kwenye wheel chair sijui kama yupo hai bado.
man,NO REFORMS,NO ELECTION.sifahamu kuhusu hilo gentleman,
but chukua hiyo point na ukamueleze na mwenyekiti wa chama chako bila kumficha kitu
ndio maana nasitiza siku zote hata no reform no elections ni useless, nonsense, null and void agenda,Nami naheshimu mtazamo wako ila usiufanye kuwa ndio sera ya taifa ya uchaguzi.
Maoni yako yaheshimiwe ila ukipotosha tunakupinga hadharani.
gentleman,man,NO REFORMS,NO ELECTION.
Msimamo wa g55 sio msimamo tunaoutaka sisi wananchi ambao ni wengi. Wananchi tunaungana na Ni reforms no election. Akina mrema na wenzako tafuteni pa kwenda wajinga sana nyie.hili kundi la g55 liliwahi kuibuka miaka ila lilifeli natumai hata hili la sasa halitafanikiwa