Viongozi wakuu wa nchi wamesusia kuja kumuaga Mkapa?

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Maana naona ni kama Waziri Mkuu wa Burundi peke yake ndio amekuja na baadhi ya Mabalozi, ina maana ni kwa sababu ya Korona au hawakuona umuhimu wa kuja? Au ndio watasingizia KORONA?

Yaani hata majirani
Museveni
Kenyatta
Kagame, nao wamegoma?

Nakumbuka alipokufa Moi, Mkapa na JK walienda, so wao wametususa au?

Huu ni upuuzi kuanzia sasa kila nchi ipambane na changamoto zake yenyewe,
Hata wakiuana tusipeleke majeshi yetu kwao wala kutoa hifadhi wa wakimbizi kutoka kwao.



Kwaheri mzee Baba, Watanzania tunatosha.
 
Kenyatta: Kenya isilinganishwe na nchi zinazoficha takwimu za Corona ambazo pia hazina uhuru wa habari na demokrasia. Yani Tanzania iliyokuwa ya mfano inapigwa madongo na Kenya.

Kenyatta hawezi kuja kwenye nchi ya hivyo.
 
Mupe...muruke...?!!

Jr[emoji769]
 
Imeniuma sana,Wakati wa kifo cha Daniel Arap Troitich Moi Mkapa na Kikwete Walikwenda kuzika.Ila Kenya imetenga siku 3 za maombolezo na bendera zinapepea nusu mlingoti
 
Kenyatta: Kenya isilinganishwe na nchi zinazoficha takwimu za Corona ambazo pia hazina uhuru wa habari na demokrasia. Yani Tanzania iliyokuwa ya mfano inapigwa madongo na Kenya.

Kenyatta hawezi kuja kwenye nchi ya hivyo.
Huyo mlevi hanipagi shida ina hata RAILA japo sio rais ila huwa anakujaga saana TZ



 
Haya ni mawazo yako, ushirikiano kati ya nchi na nchi ni jambo kubwa kuliko msiba. Hivi mtu kama ametuma salamu za rambirambi na kupepea bendera ya nchi yake nusu mlingoti kwa siku tatu bado haitoshi tu?
 
counterpart wao kahudhuria msiba nchi gani?
tuanze na hapo kwanza...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…