Nimeshangaa kusikia wachezaji aliowataka kocha wameenda yanga sasa najiuliza ni nani alievujisha ripoti ya kocha??viongozi waliopewa dhamana hawajali timu, wanachojali ni matumbo yao.
Kwa muda mrefu viongozi walikuwa wakinufaika na 10 percent za usajili wa wachezaji, huo mlango umefungwa, kinachoendelea kwenye team ni visasi vya maksudi (bora tukose wote).
hata kufungwa na Yanga mfululizo kuna viongozi wanalipwa na wanaihujumu team
viongozi waliopewa dhamana hawajali timu, wanachojali ni matumbo yao.
Kwa muda mrefu viongozi walikuwa wakinufaika na 10 percent za usajili wa wachezaji, huo mlango umefungwa, kinachoendelea kwenye team ni visasi vya maksudi (bora tukose wote).
hata kufungwa na Yanga mfululizo kuna viongozi wanalipwa na wanaihujumu team
Unaweza kuwataja hao wachezaji ambao kocha aliwataka, halafu wakaenda Yanga? Na una ushahidi wa hizi shutuma zako?Nimeshangaa kusikia wachezaji aliowataka kocha wameenda yanga sasa najiuliza ni nani alievujisha ripoti ya kocha??
Matola, Mangungu na menejaviongozi waliopewa dhamana hawajali timu, wanachojali ni matumbo yao.
Kwa muda mrefu viongozi walikuwa wakinufaika na 10 percent za usajili wa wachezaji, huo mlango umefungwa, kinachoendelea kwenye team ni visasi vya maksudi (bora tukose wote).
hata kufungwa na Yanga mfululizo kuna viongozi wanalipwa na wanaihujumu team
Ndivyo wanavyoaminishwa kua ndani ya viongozi kuna mole, ili kuficha makosa yao na mipango yao mibovu.Unaweza kuwataja hao wachezaji ambao kocha aliwataka, halafu wakaenda Yanga? Na una ushahidi wa hizi shutuma zako?
Hata nyinyi ile miaka minne ya mateso mmeihusisha sana simba kwa iyo hapa ni pipa na mfunikoNdivyo wanavyoaminishwa kua ndani ya viongozi kuna mole, ili kuficha makosa yao na mipango yao mibovu.
Sijui kwanini wanaihusisha Yanga kwenye kufeli kwao.
Sio kweliHata nyinyi ile miaka minne ya mateso mmeihusisha sana simba kwa iyo hapa ni pipa na mfuniko
kwa hiyo unataka kusema yanga haina mtu wa usajili mpaka isubiri ripoti ya fadlu ambaye alifungwa na yanga,akakosa nbc,akakosa fa,akakosa muungano?Nimeshangaa kusikia wachezaji aliowataka kocha wameenda yanga sasa najiuliza ni nani alievujisha ripoti ya kocha??
yanga haikuwahi kuihusisha simba ktk kufeli kwake,bali kukosekana kwa mfadhiri kama ilivyokuwa kwa manji na sasa gsm iliifanya yanga ikose ubingwa kwa miaka hiyo minne,na tulikuwa tuna furahi sana kuendelea kuiona timu yetu ikipambana na kumaliza ya pili licha ya ukata, kwa sasa nyie mna mwekezaji,mna wachezaji waliopendekezwa na kocha bado mnalaumiana,kwetu sisi wachezaji wengi walikuwa wa kujitolea na mapenzi binafsi,walikuwa wanalipwa kiasi kidogo cha mshahara lakini walikuwa wapambanaji.Hata nyinyi ile miaka minne ya mateso mmeihusisha sana simba kwa iyo hapa ni pipa na mfuniko