Viongozi wanaofaa na wasiofaa kuwa Marais mbeleni

mtimawachi

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
2,108
Reaction score
3,155
1. Humphrey Polepole: Kijana huyu ameonyesha uzalendo, misimamo na kutonunulika na hayumbishwi (ANAFAA)

2. Kassim Majaliwa: Licha ya utendaji mzuri alionao katika nafasi yake, lakini ameonesha udhaifu mkubwa wa kimisimamo hasa baada ya ujio wa Samia kama Rais (HAFAI)

3. Philipo Mpango: Ingawa naona kama anatumia busara nyingi mno na upole mwingi katika nafasi yake, lakini naona akishika Urais atabadilika (ANAFAA)

4. Josephat Gwajima🙁ANAFAA)

NB:Huko upinzani sijaona anayefaa,waliojaa naona kazi yao kulitabiria taifa mabaya tu.

Mimi mtoa mada ni CCM, tena timu Magufuli
 
1> Humphrey Polepole:Kijana huyu ameonyesha uzalendo,misimamo na kutonunulika na hayumbishwi(ANAFAA)
2>Kassim Majaliwa:Licha ya utendaji mzuri alonao katika nafasi yake,lakini ameonyesha udhaifu mkubwa wa kimisimamo hasa baada ya ujio wa SAMIA kama raisi (HAFAI)

3>PHILIPO MPANGO: Ingawa naona kama anatumia busara nyingi mno na upole mwingi katika nafasi yake,lakini naona akishika uraisi atabadilika(ANAFAA)

4>JOSEPHAT GWAJIMA🙁ANAFAA)
NB:Huko upinzani sijaona anayefaa,waliojaa naona kazi yao kulitabiria taifa mabaya tu.

Mimi mtoa mada ni CCM,tena timu MAGUFULI
Upeo mdogo wa fikra ni mbaya sana

kila anayepinga serikali anaonekana anafaa kuwa rais

huyuhuyu pole pole aliyekua anapiga mna na vieite kwa nchi masikini ambayo hadi leo umeme, maji, elimu, Afya na miundombinu Bado Iko chini…. Huyuhuyu aliyekua anacheza mayenu huku ukawa wanapiga kelele za uonevu

gwajiboy… huyu huyu aliyetukana waislamu, na wakatoliki kwenye public , huyu aliyekua Kwenye ile video ya kuanzisha taifa la waislamu?

vijana mnatakiwa mtafute forum humu jf iwe inawapa shule ya historia ya tulipotoka, aina za uchumi tulionao, uwanda mzima wa siasa, katiba na dira za vyama

Pia tuwe na forum ya kuangalia sifa muhimu za potential presidential candidates

rais haokotwi, rais anaandaliwa
 
Nimepaliwa na chai nikisoma huu uzi.
E-iqMw5WYAAEjOM.jpeg
 
1> Humphrey Polepole:Kijana huyu ameonyesha uzalendo,misimamo na kutonunulika na hayumbishwi(ANAFAA)
2>Kassim Majaliwa:Licha ya utendaji mzuri alonao katika nafasi yake,lakini ameonyesha udhaifu mkubwa wa kimisimamo hasa baada ya ujio wa SAMIA kama raisi (HAFAI)

3>PHILIPO MPANGO: Ingawa naona kama anatumia busara nyingi mno na upole mwingi katika nafasi yake,lakini naona akishika uraisi atabadilika(ANAFAA)

4>JOSEPHAT GWAJIMA🙁ANAFAA)
NB:Huko upinzani sijaona anayefaa,waliojaa naona kazi yao kulitabiria taifa mabaya tu.

Mimi mtoa mada ni CCM,tena timu MAGUFULI
Kakojoe ulale
 
Polepole ana uzalendo gani, unasema anunuliki mbona alinunulika na ccm.Unafki na ushamba ndo vimemjaa tu hana lolote.

Katelefoni nae ni bure tu kwanza ni muongo na mnafki.Chama chako hakitakuja kutoa kiongozi bora wa kuwahudimia wananchi.

Gwajboy ndo walewale tu unafki ndo unamsumbua akiwa na Rais anarudisha kichwa ndani kama Kobe.

shame on you
 
Upeo mdogo wa fikra ni mbaya sana

kila anayepinga serikali anaonekana anafaa kuwa rais

huyuhuyu pole pole aliyekua anapiga mna na vieite kwa nchi masikini ambayo hadi leo umeme, maji, elimu, Afya na miundombinu Bado Iko chini…. Huyuhuyu aliyekua anacheza mayenu huku ukawa wanapiga kelele za uonevu

gwajiboy… huyu huyu aliyetukana waislamu, na wakatoliki kwenye public , huyu aliyekua Kwenye ile video ya kuanzisha taifa la waislamu?

vijana mnatakiwa mtafute forum humu jf iwe inawapa shule ya historia ya tulipotoka, aina za uchumi tulionao, uwanda mzima wa siasa, katiba na dira za vyama

Pia tuwe na forum ya kuangalia sifa muhimu za potential presidential candidates

rais haokotwi, rais anaandaliwa
Unafki ndo umewajaa
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kilichobaki uraisi nipeni mimi tu nitawajali maskini wenzangu sio hao walioshiba
Ili tuamini kama kweli unamaanisha kutujali,kazichome moto zile chanjo laki saba zilizobakia,tena kazichomee pale getini kwake magogoni
 
Hii nchi kwa sasa kila mtu anafaa kuwa Rais, Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi wa Halmashauri, nk.

Na kigezo kikuu siyo kingine! Awe tu kada wa ccm! Kweli katiba mpya inahitajika haraka iwezekanavyo. Tukiendelea kuwachekea hawa vichwa maji, ipo siku tutakuja kulia kwa sauti kubwa sana tofauti na hii ya sasa.
 
1> Humphrey Polepole:Kijana huyu ameonyesha uzalendo,misimamo na kutonunulika na hayumbishwi(ANAFAA)
2>Kassim Majaliwa:Licha ya utendaji mzuri alonao katika nafasi yake,lakini ameonyesha udhaifu mkubwa wa kimisimamo hasa baada ya ujio wa SAMIA kama raisi (HAFAI)

3>PHILIPO MPANGO: Ingawa naona kama anatumia busara nyingi mno na upole mwingi katika nafasi yake,lakini naona akishika uraisi atabadilika(ANAFAA)

4>JOSEPHAT GWAJIMA🙁ANAFAA)
NB:Huko upinzani sijaona anayefaa,waliojaa naona kazi yao kulitabiria taifa mabaya tu.

Mimi mtoa mada ni CCM,tena timu MAGUFULI
Umemsahau makonda
 
Back
Top Bottom