Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Kabla ya MAGUFULI ulikua team gani1> Humphrey Polepole:Kijana huyu ameonyesha uzalendo,misimamo na kutonunulika na hayumbishwi(ANAFAA)
2>Kassim Majaliwa:Licha ya utendaji mzuri alonao katika nafasi yake,lakini ameonyesha udhaifu mkubwa wa kimisimamo hasa baada ya ujio wa SAMIA kama raisi (HAFAI)
3>PHILIPO MPANGO: Ingawa naona kama anatumia busara nyingi mno na upole mwingi katika nafasi yake,lakini naona akishika uraisi atabadilika(ANAFAA)
4>JOSEPHAT GWAJIMA🙁ANAFAA)
NB:Huko upinzani sijaona anayefaa,waliojaa naona kazi yao kulitabiria taifa mabaya tu.
Mimi mtoa mada ni CCM,tena timu MAGUFULI
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app