mtimawachi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 2,108
- 3,155
Upeo mdogo wa fikra ni mbaya sana1> Humphrey Polepole:Kijana huyu ameonyesha uzalendo,misimamo na kutonunulika na hayumbishwi(ANAFAA)
2>Kassim Majaliwa:Licha ya utendaji mzuri alonao katika nafasi yake,lakini ameonyesha udhaifu mkubwa wa kimisimamo hasa baada ya ujio wa SAMIA kama raisi (HAFAI)
3>PHILIPO MPANGO: Ingawa naona kama anatumia busara nyingi mno na upole mwingi katika nafasi yake,lakini naona akishika uraisi atabadilika(ANAFAA)
4>JOSEPHAT GWAJIMA🙁ANAFAA)
NB:Huko upinzani sijaona anayefaa,waliojaa naona kazi yao kulitabiria taifa mabaya tu.
Mimi mtoa mada ni CCM,tena timu MAGUFULI
Mkuu,huu ni mtazamo wangu hauhusiani na chama changu wala wahusika nilowatajaMmesha anza kampeni?? Ccm mmelogwa na nani??
ili ukajenge kwenu 😂Kilichobaki uraisi nipeni mimi tu nitawajali maskini wenzangu sio hao walioshiba
Kutwa wanawaza maslahi yaoMmesha anza kampeni?? Ccm mmelogwa na nani??
Kakojoe ulale1> Humphrey Polepole:Kijana huyu ameonyesha uzalendo,misimamo na kutonunulika na hayumbishwi(ANAFAA)
2>Kassim Majaliwa:Licha ya utendaji mzuri alonao katika nafasi yake,lakini ameonyesha udhaifu mkubwa wa kimisimamo hasa baada ya ujio wa SAMIA kama raisi (HAFAI)
3>PHILIPO MPANGO: Ingawa naona kama anatumia busara nyingi mno na upole mwingi katika nafasi yake,lakini naona akishika uraisi atabadilika(ANAFAA)
4>JOSEPHAT GWAJIMA🙁ANAFAA)
NB:Huko upinzani sijaona anayefaa,waliojaa naona kazi yao kulitabiria taifa mabaya tu.
Mimi mtoa mada ni CCM,tena timu MAGUFULI
Unafki ndo umewajaaUpeo mdogo wa fikra ni mbaya sana
kila anayepinga serikali anaonekana anafaa kuwa rais
huyuhuyu pole pole aliyekua anapiga mna na vieite kwa nchi masikini ambayo hadi leo umeme, maji, elimu, Afya na miundombinu Bado Iko chini…. Huyuhuyu aliyekua anacheza mayenu huku ukawa wanapiga kelele za uonevu
gwajiboy… huyu huyu aliyetukana waislamu, na wakatoliki kwenye public , huyu aliyekua Kwenye ile video ya kuanzisha taifa la waislamu?
vijana mnatakiwa mtafute forum humu jf iwe inawapa shule ya historia ya tulipotoka, aina za uchumi tulionao, uwanda mzima wa siasa, katiba na dira za vyama
Pia tuwe na forum ya kuangalia sifa muhimu za potential presidential candidates
rais haokotwi, rais anaandaliwa
Ili tuamini kama kweli unamaanisha kutujali,kazichome moto zile chanjo laki saba zilizobakia,tena kazichomee pale getini kwake magogoniKilichobaki uraisi nipeni mimi tu nitawajali maskini wenzangu sio hao walioshiba
Umemsahau makonda1> Humphrey Polepole:Kijana huyu ameonyesha uzalendo,misimamo na kutonunulika na hayumbishwi(ANAFAA)