4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Yupi mkuu, kama ni mwenyekiti wenu wa sasa Hamtoboi ,tunza hiiMgombea wa CCM anajulikana so watakuwa wanaongea hoja gani Sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupi mkuu, kama ni mwenyekiti wenu wa sasa Hamtoboi ,tunza hiiMgombea wa CCM anajulikana so watakuwa wanaongea hoja gani Sasa?
Mgombea wa CCM ni Samia,ni lini CCM imewahi shindwa kitoboa? Acha kuotaYupi mkuu, kama ni mwenyekiti wenu wa sasa Hamtoboi ,tunza hii
Dadeki mtapigwa kipigo cha mbwa kokoMgombea wa CCM ni Samia,ni lini CCM imewahi shindwa kitoboa? Acha kuota
CCM sio Chadema,kamwe haitakuja kutokea wewe Ukiwa haiDadeki mtapigwa kipigo cha mbwa koko
Lisu ni liability ameshagombea Urais mara 2 hakuna jipya na mitandao.mara zote Huwa inawadanganyaUmehamia BAVICHA baada ya kuona LISSU hashikiki.
Poa mda ni mwalim mkuuCCM sio Chadema,kamwe haitakuja kutokea wewe Ukiwa hai