Parabora
JF-Expert Member
- Jul 6, 2019
- 1,504
- 2,203
- Thread starter
- #41
DuhNaunga mkono hoja nadhani serikali yetu sikivu watendaji wote wakuu wangeenda kujifunza namna makampuni ya watu binafsi wanvyofanya kazi hata ikibidi waende kuangalia ofisi za mabalozi wa nje waliopo nchini wanavyochapa kazi. Sehemu nyingine hata kuongea na simu binafsi ni shida lakini ofisi za uma hapa kwetu wanaongea na simu binafsi bila aibu hata kama mteja anataka kuhudumiwa.