Viongozi Wastaafu, Mfateni Rais Samia na Msaidieni Kuituliza Nchi. Mambo Yamekuwa mambo huko ulimwenguni

We kibaraka umeandika kutumia kiingereza ili mabwana zako wajue umefanya kazi waliyokutuma siyo? Washenzi nyie hamtafanikiwa kuidalalia nchi yetu
 
sawa na wewe mwaga pumba zako, acha kujibu za wengine vingenevyo unathibitisha upumba wako pia.
 
Tatizo tuna kiongozi mjinga anayeongoza wastaarabu. Hawezi kukuelewa anawaza tumbo lake
 
Ni wapi katika chapisho langu nimezungumzia hayo uliyosema ? jikite kwenye mada ndugu yangu.
 
Yaani ww ni hovyoo kabisa ... Myanmar inaua wapinzani Kila siku,turkey imemfunga kabisa mpinzani ,Israel inaua maelfu ya wapalestina ,Putin anawanyonga wapinzani na hivyo vyombo ulivyovitaja vinaripoti lakini nothing is happening...sembuse SAMIA ambaye hajafanya chochote amemfungia TU yule lopolopo wenu..
Hii ni nchi huru hata wakiripoti hamna kitakachofanyika..
 
sawa, tukubariane kutokukubariana.. niu mawazo tu, sio lazima kuyafuata
 
We nawe kumbe kibuyu 😥
 
Ni wapi katika chapisho langu nimezungumzia hayo uliyosema ? jikite kwenye mada ndugu yangu.
Nayazungumzia masuala ya kuwekwa watu ndani in general mkuu. Nijaribu kusema kuwa tupinge mtanzania wa tabaka au mrengo wowote kuwekwe ndani kwa kusingiziwa siyo tunaanza kupiga kelele kwa influencial fugures peke yao.

Leo hii watanzania wa hali ya chini wanaonewa na hampigi kelele lakini hao maarufu wakiguswa tu hata kama Wana makosa mnakuja juu.
 
Duniani sasa kila mmoja anahangaika na lake tu
Vuguvugu kubwa ni Tariffs za Trump
Mataifa yanawaza yatavukaje hili
Sisi tupambane kivyetu tu
Hayo mataifa makubwa yanaangalia nani ana maslahi nao hata kama unauwa kila siku

Angalia KSA wananyonga kila leo kwa makosa kibao
Haki za binadamu wamepiga kelele wapi
Mafuta yanaongea
Kama una kichwa utaelewa
 
Aljazeera na BBC kuandika kwani ni kitu cha ajabu? Hiyo ni kazi yao kuandika na hawajaanza kuandika leo.

Alafu unataka Rais aingilie vipi kazi ya mahakama? Mahakama iachwe ifanye kazi yake
 
Aljazeera na BBC kuandika kwani ni kitu cha ajabu? Hiyo ni kazi yao kuandika na hawajaanza kuandika leo.

Alafu unataka Rais aingilie vipi kazi ya mahakama? Mahakama iachwe ifanye kazi yake
Ukifanya kosa bila kujali wewe ni nani kibumbu kitachemmka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…