secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Mambo ya hovyo. Hata wakificha elimu yao itakuwa ile ile, msukuma atabaki kuwa standard seven, yule kenge wa zenji naye atabaki na form four failure.Sasa Gen Z wa Kenya ( inasadikika) ndio walio dukuwa mitandao ya serikali na Bunge. Bunge sasa limeficha cv za elimu za wabunge- sijui ni Kwa nini hili jambo la kuchafuliwa hawakuliona?