Viongozi Wastaafu, Mfateni Rais Samia na Msaidieni Kuituliza Nchi. Mambo Yamekuwa mambo huko ulimwenguni

Yaani dunia inaiongoza Tanzania ?
Mkiambiwa punguzeni jazba muwe mnaelewa.
Sahihi wakiambiwa fanyeni siasa safi za kistaarabu na kutii sheria bila shuruti hawataki

Ona sasa mleta mada kaleta ngonjera ndefu imejaa upumbavu mtupu

Solution ni kufanya siasa za kistaarabu na kutii sheria bila shuruti
 
Dunia iache kushangaa ya congo ,sudani ,Ukrain na Israel ishangae ya Lisu maajabu kabisa tena ni muujiza ,Dunia Haina huo muda jiongezee kipato
 
Yaani haya yote uliyoyaandika n kutokana na lissu kukamatwa tuu?

Vp alivyopigwa risasi hali ilikuwaje huko duniani?
 
Ni ujinga tuuu wa viongozi kuhofia hoja bila kujua nini maana yake. Sasa tutakosa misaada tuone km tutaendeshaje hizo bajeti.
 
Kwani huyo matonya anaendaga kuomba misada Dodoma au duniani,angalia akili za machawa


Sijui ni kwa nini watetezi wote wa mashetani ya CCM, ukisoma tu maandiko yao, unajua kabisa ni yale majitu yasiyo na akili kabisa, yale yaliyo tayari hata kuua wanafamilia wao ili yashibishe matumbo yao!!
 
Kwani kafanya kosa gani? au na wewe ndio walewale? Mifano yako mbona pia haina mashiko.
 
Maneno meengi useless

Nchi Iko patamu sana ,Samia aendelee kuwashughulikia ipasavyo wanaotaka kuvuruga amani Hadi wakome.

Watu wanaendelea na ratiba zao hawana habari nujinga wa Machadema.
 
sawa na wewe mwaga pumba zako, acha kujibu za wengine vingenevyo unathibitisha upumba wako pia.
Mimi siwezi kumwaga pumba kwa vile nina akili.

Tundu ametuhumiwa, amekamatwa na amepelekwa Mahakamani. Taratibu za kisheria zote zimefuatwa, tuziachie Mahakama zifanye kazi.

Unapotaka wazee wastaafu na viongozi wa makanisa waingilie kati ujuwe hapo ndipo unatapika pumba. Wazee wastaafu wamepumzika siyo mahukumu yao na viongozi wa kidini kazi yao ni kuongoza kiroho tu siyo kisiasa
 
Wasemee hao watanzania wengine ww
 
Kesi iko kwenye mahakama zipi, hizi zilizokaa na kesi ya Covid 19 miaka minne na ushahidi wote upo.
 
Kesi iko kwenye mahakama zipi, hizi zilizokaa na kesi ya Covid 19 miaka minne na ushahidi wote upo.
Vyovyote usemavyo Nchi ya Tanzania iko mikono salama chini ya Samia, kiuchumi na kiusalama. Tusonge mbele, nyie wengine jipangeni tu kumtembelea Segerea kumpelekea sabuni na mikate
 
Tatizo watu wengi wanaangalia matokeo badala ya kuangalia mchakato ulioleta hayo matokeo.

Unataka Samia afungue mazungumzo ya mabadiliko ya siasa wakati akishaanza na utapeli wa 4R wapinzani wakakaa naye kwenye mazungumzo ikaonekana anawatapeli tu?

Unataka Samia akubali mabadiliko ya siasa ambayo yanaonekana yana nafasi kubwa ya kumtoa yeye na CCM madarakani?
 
Kazi yangu ya maana ni zaidi ya kwako, tumia maneno yasiyokwaza wengine ktk majibu yako- haikiupunguzi kitu kama ungepotezea maoni yangu.
Mkuu hao ndio maana wanaitwa machawa..ni watu walioamua kutotumia akili zao ipasavyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…