Viongozi Wastaafu, Mfateni Rais Samia na Msaidieni Kuituliza Nchi. Mambo Yamekuwa mambo huko ulimwenguni

Kikwete mtoe kwenye list yako
 
Hawasikilizwi wanaongea kila siku. Let us go this way, it will be a lesson for new generations not us. We have failed, the first President left us this dictatorship constitution and no one will change it once in power.
 
Kikwete mtoe kwenye list yako
Kwa kweli anahitajika nimtoe… nimemuweke ili ajitafakari lakini naona kaweka pamba masikioni- Asante na shukrani Kwa Judge Warioba, Butiku na Akina Ulimwengu. Wengine nao waamuke. Wameona tulivyo Chafuliwa huko Kenya , Norway, UN na kwingineko na bandiko hili nililitoa kabla Gen Z hawajaanza kumchora…

Muda si mrefu Bwana Khani na watu wake wa ICC Watapiga hodi… ndio sasa waanze propaganda zao kwamba tunaonewa na mabeberu…kumbe ni wenyewe wamekileta kinyeshi sebureni, lazima kinuke tu.
 
Kwa hali inayoendelea sasa, unasemaje kuhusu bandiko lako?
 
Tanzania wanachoangalia ni kupata keki yao tu akipewa sehemu ndogo ya malipo ya gesi inatosha hayo mengine mtajijua wenyewe mazee...
 
Nikisoma comments kama hizi kusomesha mtoto chuo Tanzania labda niwe marehemu aisee watu wamedumaa sana sana..
 
Sasa Gen Z wa Kenya ( inasadikika) ndio walio dukuwa mitandao ya serikali na Bunge. Bunge sasa limeficha cv za elimu za wabunge- sijui ni Kwa nini hili jambo la kuchafuliwa hawakuliona?
 
Sahihi wakiambiwa fanyeni siasa safi za kistaarabu na kutii sheria bila shuruti hawataki

Ona sasa mleta mada kaleta ngonjera ndefu imejaa upumbavu mtupu

Solution ni kufanya siasa za kistaarabu na kutii sheria bila shuruti
Unazungumziaje kilicho tokea wiki Jana na Kinacho endelea kutokea na vijana wa Gen Z?
 
Ccm na wapuuzi wengine ndani ya chama hawajali. Hata nchi ikiingia vitani ilmradi wao matumbo yao yanashiba hawaoni shida yoyote.
 
Ccm na wapuuzi wengine ndani ya chama hawajali. Hata nchi ikiingia vitani ilmradi wao matumbo yao yanashiba hawaoni shida yoyote.
Ngoja ICC waje tuone watakavyo jinasua… maana ndicho Kinacho enda kutokea mambo yamefika UN
 
Ndugu, uwezi tegemea Mh. Kikwete atoe ushauri kwa maslahi ya taifa, kwanza anaangalia familia yake ilivyojikita ndani ya serikali, na jinsi vitega uchumi vyake namna gani visiadhirike, mwisho taifa, kuna watu wanafikiri taifa ni viongozi wa juu pekee, hao ndio wengi, tegemea Warioba, Butiku, ila hawasikilizwi!
 
Wameshindwa kuzuia maafa palestina nahata huko kwazelensk tuzungumze yakwetu hata hivo mama Samia alianza vizuri tu kwa upande wasiasa mpaka kuruhusu mikutano yasiasa na mengine uraisi nitaasisi hivo basi siamini kama yeye anaweza kuamua yeye kama mkuu wanchi kama ambavyo magu alikuwa akifanya mimi naamini niwashauri tu wamsaidie ingawa hawezi kukwepa lawama kwa ile yeye ndomkuu wanchi naamini kama angeachia afanye kwa uwezo wake mambo yasingekuwa haya
 
Pamoja na kuwa na washauri, alazimiki kufuata ushauri wowote, kwahiyo yote ni juu yake, je, wajuwa kwa katiba hii Rais ni zaidi ya mfalume, kwa wafalume kila kitu kilichopo kwenye ardhi wanayoitawala ni mali yao, pamoja na watu!
 
Ngoja ICC waje tuone watakavyo jinasua… maana ndicho Kinacho enda kutokea mambo yamefika UN
Unajisikia tu kuandika ICC? Hebu kasome tena Rome Statute ya mwaka 1998 ndiyo uandike hizi pumba
 
hivi hao wastaafu ndiyo akina makamba na kikwete wote hao?
aseme nini zaidi ya kusifia?
si anajua kijana wake ni waziri?

Kama inchi iwe na mfumo wa kuchuja watu kabla ya kuwakabidhi nchi

hili ni zao la kutoa nafasi za hisani ama kujifanya kubalance gender.
 
Una hoja lakini punguza lugha kali zinashusha hadhi ya hoja zako ni ushauri tu.
 
Na sasa Muda unaendelea kuongea hadi elimu za wabunge imebidi zivichwe toka kwenye tovuti ya Bunge
Kwani elimu za wabunge wa Tanzania ni siri? Mbona Katiba imesema elimu ya chini ni kujuwa kusoma na kuandika. Yaani unasubiri GEN Z wa Kenya ndiyo wakujulishe wakati akina Livingston Lusinde, Jumanne Kishimba, Musukuma na Deo Sanga wanajulikana kuwa ni Std VII na wenyewe wanajinasibu hivyo, wala hawafichi.

Kama kuna Watanzania wapumbavu na wewe umo. Jipige kifua sema mimi ni mpumbavu
Sasa Gen Z wa Kenya ( inasadikika) ndio walio dukuwa mitandao ya serikali na Bunge. Bunge sasa limeficha cv za elimu za wabunge- sijui ni Kwa nini hili jambo la kuchafuliwa hawakuliona?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…