Viongozi Wastaafu, Mfateni Rais Samia na Msaidieni Kuituliza Nchi. Mambo Yamekuwa mambo huko ulimwenguni

Sasa Gen Z wa Kenya ( inasadikika) ndio walio dukuwa mitandao ya serikali na Bunge. Bunge sasa limeficha cv za elimu za wabunge- sijui ni Kwa nini hili jambo la kuchafuliwa hawakuliona?
Mambo ya hovyo. Hata wakificha elimu yao itakuwa ile ile, msukuma atabaki kuwa standard seven, yule kenge wa zenji naye atabaki na form four failure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…