coscated
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 4,794
- 5,411
Katiba hairuhusu kuongoza kwa kipindi kinachozidi miaka 10 mfululizoHii ndo awamu yake ya kwanza ile iliyoisha alikua anamshikia magufuli kwahiyo 2030 atagombea tena awamu yake ya pili
Katiba hairuhusu kuongoza kwa kipindi kinachozidi miaka 10 mfululizoHii ndo awamu yake ya kwanza ile iliyoisha alikua anamshikia magufuli kwahiyo 2030 atagombea tena awamu yake ya pili
Mbona babako hujamtajaNdugu zangu nawasalimu nikitokea kupiga Kura kwa Kitambulisho changu cha NIDA. Hapa nawaletea orodha ya viongozi na Watu Maarufu watakaouhudhuria Uapisho wa Rais (Mteule) hapo November 2025.
1. Dr William Ruto (PhD),
2. Yoweri Museveni,
3. Paul Kagame,
4. Paul Biya,
5. Felix Tshisekedi,
6. Cyril Ramaphosa,
7. Donald Trump,
10. Netumbo Nandi-Ndaitwah,
11. Prof Peter Mutharika (PhD),
12. Antonio Guteres.
13. Emerson Mnangangwa,
14. Hakainde Hichilema,
15. Daniel Chapo,
16. King Charles.