Kawai siti hatar na nusuBimkubwa si yupo kule tayar,mbona hakuna bandiko letu
Sasa unataka sisi tufanyeje? Tuwafuate? Au tukuchangie nauli nawe uende huko.Viongozi toka nchi zifuatazo wapo tayari Afrika Kusini kuhudhuria sherehe za Uapisho wa Cyril Ramaphosa,
.
1. Eswatini,
2. Lesotho,
3. Uganda,
4. Namibia,
5. Angola,
6. Palestina,
7. Egypt,
8. Kenya,
9. Zimbabwe,
10. Tanzania.
PIA SOMA
- Rais Samia kwenda Uapisho wa Ramaphosa
Chanzo: Heads of state, government and royalty to attend inauguration
Una uhakika kaenda yeye au Makamo wa Raisi? wacha kuwaza kwa kutumia kamasiRuto katoka Italy juzi Leo yuko SA π
Wanadhani Viongozi ni kama raia tu. Lazima kwenda kumpongeza Ramaphosa. Hata baadhi ya deals zinaongelewa kwenye cocktail party sio Lazima kuwe na summit (formal)π Ati SHC
πππππ
Watu wana hasira wakuu wa nchi wanaenda kugonga gilasi.
Inawauma sana na kuwatesa-Muendelee kuteseka.
Naona ni viinchi njaa visivyo na viongozi wenye maono π€£π€£π€£π€£π€£Viongozi toka nchi zifuatazo wapo tayari Afrika Kusini kuhudhuria sherehe za Uapisho wa Cyril Ramaphosa,
.
1. Eswatini,
2. Lesotho,
3. Uganda,
4. Namibia,
5. Angola,
6. Palestina,
7. Egypt,
8. Kenya,
9. Zimbabwe,
10. Tanzania.
PIA SOMA
- Rais Samia kwenda Uapisho wa Ramaphosa
Chanzo: Heads of state, government and royalty to attend inauguration
Ningeshangaa sana kama marais wa Tanzania na Kenya wangekosa kwenye hiyo orodha.Viongozi toka nchi zifuatazo wapo tayari Afrika Kusini kuhudhuria sherehe za Uapisho wa Cyril Ramaphosa,
.
1. Eswatini,
2. Lesotho,
3. Uganda,
4. Namibia,
5. Angola,
6. Palestina,
7. Egypt,
8. Kenya,
9. Zimbabwe,
10. Tanzania.
PIA SOMA
- Rais Samia kwenda Uapisho wa Ramaphosa
Chanzo: Heads of state, government and royalty to attend inauguration
Benzion Milkowisky a.k.a Benjamin Netanyahu hajaalikwa?πππViongozi toka nchi zifuatazo wapo tayari Afrika Kusini kuhudhuria sherehe za Uapisho wa Cyril Ramaphosa,
.
1. Eswatini,
2. Lesotho,
3. Uganda,
4. Namibia,
5. Angola,
6. Palestina,
7. Egypt,
8. Kenya,
9. Zimbabwe,
10. Tanzania.
PIA SOMA
- Rais Samia kwenda Uapisho wa Ramaphosa
Chanzo: Heads of state, government and royalty to attend inauguration
Kwa kumuona huyo wa ESWATINI na yeye yupo huko, nimefikiria sana juu ya mama AbdulViongozi toka nchi zifuatazo wapo tayari Afrika Kusini kuhudhuria sherehe za Uapisho wa Cyril Ramaphosa,