Viongozi wazuri wako CCM, hata ukinuna shauri yako

nani atashawishika na mawazo ya hovyo hovyo ambayo tena ni mihemko tu isiyo mbadala dhidi ya chochote ambacho ni changamoto?🤣

misimamo ya vyama vyenu bakini nayo ndani ya vyama vyenu. Yaani ajitokeze kiongozi tu kwasababu ya kuchochewa na ulevi na mihemko yake tu ndio uje kubabaisha watu walioko makazini? alaa?

Jamii imekukataa wewe, chama chako na fikra zako potofu, unalazimisha? wananchi wamekutaa unailaumiu CCM, bunge au mahakama? Vina hudikaje sasa kwa mfano? uko timamu kweli?🤣

Taifa hili liko kwenye ulinzi na mikono salama ya Mwenyezi Mungu. Na hata vitabu vya Mungu vinasema, malaka zote za dunia zimetoka kwa Mungu.
Na sauti ya wengi ni sauti ya Mungu..

Na kwasababu hiyo viongozi wazuri wako CCM hata ukinuna shauri yako 🐒
 
Hapana huko kumejaa mafisadi,wala rushwa,madikteta,machawa na wauaji.
usione aibu basi, wala haya kutaja kule walikojaa walevi, wapigaji pesa za chama, washirikina, wakurupukaji, , wazee wa ramli chonganishi na kutoana kafara, mbaya zaidi wale wakuchukua na kuwafanya vijana misukule gentleman 🐒
 
Hivi wewe una akili timamu kweli au ni kilaza???Uchaguzi uliofanyika 2019 na 2020 unaona ulikuwa uchguzi??Wewe ukishalewa mbege unajifanya mwerevu wakati kichwani hamna kitu.Upo kwa maslahi ya chama chako tu na siyo kwa maslahi ya nchi.Sawa ni uhuru wako ila acha kujichanganya changanya kama malaya wewe.
 
usione aibu basi, wala haya kutaja kule walikojaa walevi, wapigaji pesa za chama, washirikina, wakurupukaji, , wazee wa ramli chonganishi na kutoana kafara, mbaya zaidi wale wakuchukua na kuwafanya vijana misukule gentleman 🐒
Bora mlevi kuliko mwizi
 
Pole tajiri, samahani sana gentleman. Nimeghafilika kidogo aise kumbradhi ndugu mwanainchi..

hata hivyo,
wimbo wa kizalendo wenye ujumbe mzito na wa maana kiasi hicho, ni Lazima mtunzi na wananchi waimbaji wake wana furaha, wana amani na wanakiamini Chama Cha Mapinduzi, kwamba ndicho ambacho ni msingi wa furaha ya maisha yao na maendeleo ya kisiasa kijamii na kiuchmi 🐒

Mwenye mihemko haiwez kua na utulivu wa kutunga wimbo wa kizalendo na wa maana kama huo.

Ni wazi viongozi wazuri wako CCM hata ukinuna shauri yako 🐒
 
Naona umeandika utumbo mtupu
gentleman punguza mihemko,
ungeandika maini ingependeza zaidi, makasiriko sio dili na,

viongozi wazuri wako CCM hata ukinuna shauri yako 🐒
 
Nitajie watatu walio safi na wasio wala rushwa, wezi, malaghai, waongo na dhalimu nami nitakupa list ya watu 100 wenye sifa nzuri sana nje ya ccm
CCM ina hazina kubwa mno ya viongozi wa zuri ndani yake, na wimbo wa kizalendo hapo juu umeeleza vizur sana hilo..

CCM haina haja na yeyote alie nje ya chama kutokana na kujitosheleza kwake kulingana na mahitaji ya kiujuzi na taaluma miongoni mwa wanachama wake..

Nachelea kusisitiza kwamba viongozi wazuri wako CCM hata ukinuna shauri yako 🐒
 
Uelewa wako wa SIASA ni mdogo Sana machawa wengi wapo CCM
sasa gentleman,
uelewa mkubwa ndio huo unao ishia kwenye kuonyesha mihemko, ghadhabu na makasiriko tu? kweli?🤣
 
na siku zingine atavunjika kiuno shauri zenu na halafu ndie mkopeshaji mkuu wa chama 🤣
Acha dharau wewe,Nyerere alikuwa mnywaji,Mkapi alikuwa mnywaji,Kenyatta alikuwa mnywaji,Kaunda alikuwa mnywaji na waliongoza nchi zao bila tatizo lolote.
 
Wewe una dharau balaa na una akili fupi unachokiamini endelea kiwe hivyo hivyo mambo ya wengine yaache yalivyo.
kwahiyo gentleman,
akili ndefu imeishia kupanic tu?🤣

daima siwezi kumdharau mdau yeyote yule wa JF kulingana na maoni au mitazamo yao tofauti na yangu. Ni muhimu kuheshimiana na kujadiliana kwa hoja kindugu na kukubali kutofautiana..

hata hivyo,
hilo haliwezi kuondoa ukweli kwamba, viongozi wazuri wako CCM hata ukinuna shauri yako 🐒
 

Ukisikiliza midahalo na makongamano basi utagundua kuwa Shetani aliyepo Tanzania ni CCM .

Ni wazi kuwa Hakuna shetani ila CCM.🤣🤣🤣🤣🤣.
 
Acha dharau wewe,Nyerere alikuwa mnywaji,Mkapi alikuwa mnywaji,Kenyatta alikuwa mnywaji,Kaunda alikuwa mnywaji na waliongoza nchi zao bila tatizo lolote.


Ukiwa kwenye Harakati zenye mafanikio ya kimwili na Kiroho ni lazima ujitenge na anasa ikiwemo ulevi na uzinzi.

Hata kanuni za asili zipo hivyo . Ukiwa mlevi utaropoka hovyo kama yule Mwanajeshi mhaya aliyeropoka dili la kumpindua Nyèrere
 
Acha dharau wewe,Nyerere alikuwa mnywaji,Mkapi alikuwa mnywaji,Kenyatta alikuwa mnywaji,Kaunda alikuwa mnywaji na waliongoza nchi zao bila tatizo lolote.
umesema kweli kabisaa na uko sahihi sana gentleman. Ulowataja walikua wanywaji 👊

ila sasa huyo mlevi mpaka akavunjika unadhani ni mywaji 🤣

si unajua kuna utofauti wa unywaji na mlevi Lakini 🤣

wanadamu wate tunakunywa,
wengine maji, wengine juice n.k

Ila walevi sasa kama huyo muungwana mkubwa wa chama 🤣
 
Ukiwa kwenye Harakati zenye mafanikio ya kimwili na Kiroho ni lazima ujitenge na anasa ikiwemo ulevi na uzinzi.

Hata kanuni za asili zipo hivyo . Ukiwa mlevi utaropoka hovyo kama yule Mwanajeshi mhaya aliyeropoka dili la kumpindua Nyèrere
hata alietangaza maandamano haramu ya chama fulani cha siasa majuzi ni dhahiri alichochewa na kupewa ujasiri na kilevi..

Na kuna msimamizi wa uchaguzi wa chama Fulani cha siasa huko Nyasa alipiga kilevi mpaka akashindwa kuusimamia uchaguzi ule siku ya Uchaguzi, sasa hivi amesimamishwa kazi kidogo kwa muda 🤣

Viongozi wazuri wako CCM hata ukinuna shauri yako 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…