Viongozi wengi wa Kanisa Tanzania ni wana CCM!

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Mwaka 2021 nikiwa Ibadani kwenye siku ya kwanza ya mwaka, akasimama Askofu na kutoa salamu za mwaka mpya.

Kwenye salamu zake za mwaka mpya Askofu akasema kuwa wapinzani walishindwa kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 kwa kuwa wakati wa sakata la COVID 19, wapinzani walikaa upande wa shetani.

Kwa maoni yake wapinzani walikuwa wapo upande wa shetani kwa kusema kuwa Tanzania kulikuwa na COVID 19.

Nikaanza kujikumbusha mambo mbali mbali na kauli za viongozi kadhaa wa kanisa kuhusu siasa za Tanzania.

Kwa kweli ukifuatilia kwa undani utagundua kuwa viongozi wengi wa Kanisa ama ni wana CCM au ni chawa wa CCM.
 
Usichanganye mambo,

Viongozi wa Dini zilizosajiliwa na Siri kkali wengi ni wa huko maana wamebanwa kimfumo.

Na dini kama mfumo hautambuliki mbinguni,

Kanisa ni kitu ingine,

Kanisa haliko chini ya serikali za wanadamu,

Na hayupo wa kulifuta kanisa maana limesajiliwa Mbinguni..

Kiongozi wa kanisa ni YESU KRISTO/Yeshua Hamashiach .
 
Rabbon umejisumbua bure kutoa maelezo yako. Mimi nimetumia tu lugha inayoeleweka Kwa wengi.

Kitheolojia Kanisa ni moja bila ya kujali madhehebu.
 
Wanakula kwa urefu wa kamba zao!.

Nimeshaandika mara kadhaa humu Dini na siasa ni vyombo vyakutawala watu kisaikolojia. Ila kwavile kusikia kwa kenge ni mpaka atoke damu na mtoke tu!.
 
C juz apa nimeona mama katoa onyo kuwa viongoz wa dini wasi ingilie mambo ya siasa
 
Mwaka 2021 nikiwa Ibadani kwenye siku ya kwanza ya mwaka, akasimama Askofu na kutoa salamu za mwaka mpya.

Kwenye salamu zake za mwaka mpya Askofu akasema kuwa wapinzani walishindwa kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 kwa kuwa wakati wa sakata la COVID 19, wapinzani walikaa upande wa shetani.

Kwa maoni yake wapinzani walikuwa wapo upande wa shetani kwa kusema kuwa Tanzania kulikuwa na COVID 19.

Nikaanza kujikumbusha mambo mbali mbali na kauli za viongozi kadhaa wa kanisa kuhusu siasa za Tanzania.

Kwa kweli ukifuatilia kwa undani utagundua kuwa viongozi wengi wa Kanisa ama ni wana CCM au ni chawa wa CCM.
Sawa, Tufanye ipo hivyo. Ushauri wangu; kama Kuna kifungu Cha Sheria wanakivunja basi tuwatumie kina kibatala kuwawajibisha.
 
Sio kanisa mpaka misikiti.
Harusi ya JUX pesa imetoka CCM kuna mada hapa nimeambiwa wivu ili kuzima mijadara ya no reform no election
 
C juz apa nimeona mama katoa onyo kuwa viongoz wa dini wasi ingilie mambo ya siasa
Hujasikia Mufti akitangaza kumfanyia duwah? Au hujaona Lucas Mwashambwa aliweka picha za Stephen Wassira akiwa Kadinali Rugambwa?

Hayo matukio mawili Kwa CCM siyo kuchanganya dini na siasa. Ila Kalikawe Bagonza akisema CCM watende haki ndiyo anaambiwa anachanganya dini na siasa!
 
Ni ngumu kuamini hadithi za kumtuhumu mtu bila uthibitisho.maana zinaweza kuwa au zisiwe za kweli.
Lakini hata ikiwa kweli,je,wao hawana haki hiyo kama raia?
 
Hujasikia Mufti akitangaza kumfanyia duwah? Au hujaona Lucas Mwashambwa aliweka picha za Stephen Wassira akiwa Kadinali Rugambwa?

Hayo matukio mawili Kwa CCM siyo kuchanganya dini na siasa. Ila Kalikawe Bagonza akisema CCM watende haki ndiyo anaambiwa anachanganya dini na siasa!
CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Amani na utulivu vimetamalaki Nchini na watu kuweza kufanya ibada zao kwa amani kwa sababu ya CCM
 
Mwaka 2021 nikiwa Ibadani kwenye siku ya kwanza ya mwaka, akasimama Askofu na kutoa salamu za mwaka mpya.

Kwenye salamu zake za mwaka mpya Askofu akasema kuwa wapinzani walishindwa kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 kwa kuwa wakati wa sakata la COVID 19, wapinzani walikaa upande wa shetani.

Kwa maoni yake wapinzani walikuwa wapo upande wa shetani kwa kusema kuwa Tanzania kulikuwa na COVID 19.

Nikaanza kujikumbusha mambo mbali mbali na kauli za viongozi kadhaa wa kanisa kuhusu siasa za Tanzania.

Kwa kweli ukifuatilia kwa undani utagundua kuwa viongozi wengi wa Kanisa ama ni wana CCM au ni chawa wa CCM.
Hilo mbona liko wazi mkuu
 
CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Amani na utulivu vimetamalaki Nchini na watu kuweza kufanya ibada zao kwa amani kwa sababu ya CCM
Umeielewa mada?

Maana mambo ya Ibada hata katikati ya vita huko Israel na Hamas au Russia na Ukraine, Ibada bado zinafanyika!
 
Sio kanisa mpaka misikiti.
Harusi ya JUX pesa imetoka CCM kuna mada hapa nimeambiwa wivu ili kuzima mijadara ya no reform no election
Hata Mimi nilihisi hivyo mapema. Wameona ya Aziz Ki haitoshi🤣🤣🤣🤣
 
Naelewa. Ila ili tuelewane ndiyo lugha inayotakiwa kutumika. Si unajua Shell ni kampuni ya mafuta ya Ufaransa lakini kwa watanzania Kila kituo cha mafuta ni sheli!?
Context ni hii,

Kanisa ndilo limepewa kumiliki na kusimamia nchi na vyote vilivyomo,

Na serikali zote za wanadamu zipo pale sababu ya kanisa.

Baada ya kanisa kuwapa ridhaa viongozi kuongoza kwa haki ya Mungu, wamepotoka,

Na jambo Hilo likitokea, manabii hutumwa kwenda kurekebisha serikali, mfano ni Daudi, Yeshua, Musa, Yehu, Samuel, Yohana Mbatizaji nk nk.

Huu ni muda wa kanisa kurudi kuishape Serikali irudi Katika kusudi la Mungu kuongoza watu wa Mungu kwa haki Ili izaliwe Amani.

Ajaye 2025,

Ni kanisa halisi, SI dini..

Hatokuwa Islam wala catolicano wala mpagani, Bali ni kanisa, nabii.

Aamen
 
Mwaka 2021 nikiwa Ibadani kwenye siku ya kwanza ya mwaka, akasimama Askofu na kutoa salamu za mwaka mpya.

Kwenye salamu zake za mwaka mpya Askofu akasema kuwa wapinzani walishindwa kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 kwa kuwa wakati wa sakata la COVID 19, wapinzani walikaa upande wa shetani.

Kwa maoni yake wapinzani walikuwa wapo upande wa shetani kwa kusema kuwa Tanzania kulikuwa na COVID 19.

Nikaanza kujikumbusha mambo mbali mbali na kauli za viongozi kadhaa wa kanisa kuhusu siasa za Tanzania.

Kwa kweli ukifuatilia kwa undani utagundua kuwa viongozi wengi wa Kanisa ama ni wana CCM au ni chawa wa CCM.
Ni kanisa gani lina kilaza namna hii. I bet siyo RC bali ni hawa walokole feki.
 
Back
Top Bottom