Viongozi wengi wa Kanisa Tanzania ni wana CCM!

Kwa kweli ukifuatilia kwa undani utagundua kuwa viongozi wengi wa Kanisa ama ni wana CCM au ni chawa wa CCM.
Kuna yale makanisa yaliibuka kwa kasi wakati wa utawala wa awamu ya,nne ambapo makada wa CCM waliyamiliki hayo makanisa...

Kina mzee wa upako, mama Rwakatare na watumishi wengi wenye kujipachika nicknames walipewa maeneo kwa manufaa ya CCM
 
Leo Mwamposa hawezi kuipinga CCM. Na Gwajima aliyejitamba kuwa Uaskofu wake ni mkubwa kuliko ufalme, Urais au ubunge, leo hii anatapia nafsi yake ya ubunge wa Kawe!
 
Usichanganye mambo,

Viongozi wa Dini zilizosajiliwa na Siri kkali wengi ni wa huko maana wamebanwa kimfumo.

Na dini kama mfumo hautambuliki mbinguni,

Kanisa ni kitu ingine,

Kanisa haliko chini ya serikali za wanadamu,

Na hayupo wa kulifuta kanisa maana limesajiliwa Mbinguni..

Kiongozi wa kanisa ni YESU KRISTO/Yeshua Hamashiach .
Kwa mtazamo wa kiimani upo sawa ila kwa mtazamo wa kihistoria kanisa limeanzishwa na hao hao walio kwenye mifumo ya kiutawala .
 
Usiiamini historia inayokwambia mwafrika ulitokana na nyani,

Tena wanasema waliligundua bara la afrika na ziwa Viktoria halikuwa na jina Hadi walipokuja wao.
 
Kwa hiyo nisiamini historia ambayo ipo na ushahidi huko roma ila niamini imani ?
 
Back
Top Bottom