Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Bado hunielewi.Rabbon umejisumbua bure kutoa maelezo yako. Mimi nimetumia tu lugha inayoeleweka Kwa wengi.
Kitheolojia Kanisa ni moja bila ya kujali madhehebu.
Sawa, Tufanye ipo hivyo. Ushauri wangu; kama Kuna kifungu Cha Sheria wanakivunja basi tuwatumie kina kibatala kuwawajibisha.Mwaka 2021 nikiwa Ibadani kwenye siku ya kwanza ya mwaka, akasimama Askofu na kutoa salamu za mwaka mpya.
Kwenye salamu zake za mwaka mpya Askofu akasema kuwa wapinzani walishindwa kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 kwa kuwa wakati wa sakata la COVID 19, wapinzani walikaa upande wa shetani.
Kwa maoni yake wapinzani walikuwa wapo upande wa shetani kwa kusema kuwa Tanzania kulikuwa na COVID 19.
Nikaanza kujikumbusha mambo mbali mbali na kauli za viongozi kadhaa wa kanisa kuhusu siasa za Tanzania.
Kwa kweli ukifuatilia kwa undani utagundua kuwa viongozi wengi wa Kanisa ama ni wana CCM au ni chawa wa CCM.
Hujasikia Mufti akitangaza kumfanyia duwah? Au hujaona Lucas Mwashambwa aliweka picha za Stephen Wassira akiwa Kadinali Rugambwa?C juz apa nimeona mama katoa onyo kuwa viongoz wa dini wasi ingilie mambo ya siasa
Naelewa. Ila ili tuelewane ndiyo lugha inayotakiwa kutumika. Si unajua Shell ni kampuni ya mafuta ya Ufaransa lakini kwa watanzania Kila kituo cha mafuta ni sheli!?Bado hunielewi.
Dini na kanisa ni vitu viwili tofauti .
CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Amani na utulivu vimetamalaki Nchini na watu kuweza kufanya ibada zao kwa amani kwa sababu ya CCMHujasikia Mufti akitangaza kumfanyia duwah? Au hujaona Lucas Mwashambwa aliweka picha za Stephen Wassira akiwa Kadinali Rugambwa?
Hayo matukio mawili Kwa CCM siyo kuchanganya dini na siasa. Ila Kalikawe Bagonza akisema CCM watende haki ndiyo anaambiwa anachanganya dini na siasa!
Hilo mbona liko wazi mkuuMwaka 2021 nikiwa Ibadani kwenye siku ya kwanza ya mwaka, akasimama Askofu na kutoa salamu za mwaka mpya.
Kwenye salamu zake za mwaka mpya Askofu akasema kuwa wapinzani walishindwa kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 kwa kuwa wakati wa sakata la COVID 19, wapinzani walikaa upande wa shetani.
Kwa maoni yake wapinzani walikuwa wapo upande wa shetani kwa kusema kuwa Tanzania kulikuwa na COVID 19.
Nikaanza kujikumbusha mambo mbali mbali na kauli za viongozi kadhaa wa kanisa kuhusu siasa za Tanzania.
Kwa kweli ukifuatilia kwa undani utagundua kuwa viongozi wengi wa Kanisa ama ni wana CCM au ni chawa wa CCM.
Umeielewa mada?CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Amani na utulivu vimetamalaki Nchini na watu kuweza kufanya ibada zao kwa amani kwa sababu ya CCM
Hata Mimi nilihisi hivyo mapema. Wameona ya Aziz Ki haitoshi🤣🤣🤣🤣Sio kanisa mpaka misikiti.
Harusi ya JUX pesa imetoka CCM kuna mada hapa nimeambiwa wivu ili kuzima mijadara ya no reform no election
Context ni hii,Naelewa. Ila ili tuelewane ndiyo lugha inayotakiwa kutumika. Si unajua Shell ni kampuni ya mafuta ya Ufaransa lakini kwa watanzania Kila kituo cha mafuta ni sheli!?
Ni kanisa gani lina kilaza namna hii. I bet siyo RC bali ni hawa walokole feki.Mwaka 2021 nikiwa Ibadani kwenye siku ya kwanza ya mwaka, akasimama Askofu na kutoa salamu za mwaka mpya.
Kwenye salamu zake za mwaka mpya Askofu akasema kuwa wapinzani walishindwa kwenye uchaguzi wa mwaka 2020 kwa kuwa wakati wa sakata la COVID 19, wapinzani walikaa upande wa shetani.
Kwa maoni yake wapinzani walikuwa wapo upande wa shetani kwa kusema kuwa Tanzania kulikuwa na COVID 19.
Nikaanza kujikumbusha mambo mbali mbali na kauli za viongozi kadhaa wa kanisa kuhusu siasa za Tanzania.
Kwa kweli ukifuatilia kwa undani utagundua kuwa viongozi wengi wa Kanisa ama ni wana CCM au ni chawa wa CCM.
Wewe takataka hata hujaelewa somo unadandia tu kama changudoa aliyekosa mteja.CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Amani na utulivu vimetamalaki Nchini na watu kuweza kufanya ibada zao kwa amani kwa sababu ya CCM
Lutheran. Jamaa ana shahada zaidi ya tatu.Ni kanisa gani lina kilaza namna hii. I bet siyo RC bali ni hawa walokole feki.