Viongozi wengi wa Kanisa Tanzania ni wana CCM!

Kwa kweli ukifuatilia kwa undani utagundua kuwa viongozi wengi wa Kanisa ama ni wana CCM au ni chawa wa CCM.
Kuna yale makanisa yaliibuka kwa kasi wakati wa utawala wa awamu ya,nne ambapo makada wa CCM waliyamiliki hayo makanisa...

Kina mzee wa upako, mama Rwakatare na watumishi wengi wenye kujipachika nicknames walipewa maeneo kwa manufaa ya CCM
 
Leo Mwamposa hawezi kuipinga CCM. Na Gwajima aliyejitamba kuwa Uaskofu wake ni mkubwa kuliko ufalme, Urais au ubunge, leo hii anatapia nafsi yake ya ubunge wa Kawe!
 
Kwa mtazamo wa kiimani upo sawa ila kwa mtazamo wa kihistoria kanisa limeanzishwa na hao hao walio kwenye mifumo ya kiutawala .
 
Usiiamini historia inayokwambia mwafrika ulitokana na nyani,

Tena wanasema waliligundua bara la afrika na ziwa Viktoria halikuwa na jina Hadi walipokuja wao.
 
Kwa hiyo nisiamini historia ambayo ipo na ushahidi huko roma ila niamini imani ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…