Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Tanzania haifati meritocracy, hivyo viongozi wengi kuanzia chini mpaka Juu hawajawahi achieve chochote maishani ukiachia labda kuoa na kuanzisha familia, hilo nalo unaweza kulijadili pia kama hata kwenye Familia wamefanikiwa.
Ukingalia nchi nyingi utaona viongozi wanafika juu kwa merit, unaweza ku-track hardworking students kuanzia shuleni, sekondari mpaka chuo kikuu na mwishowe kazini unaona ni achiever. Tanzania ni kinyume chake, wale under achiever ndiyo wanaofika mbali. Ili ufike mbali Tanzania unahitaji Uongo, Majungu na Fitina.
Kama hauamini jaribu tu kufanya thought experiment, labda jiulize ni kiongozi gani katika baraza la mawaziri unafikiri anaweza kuwa Raisi mzuri? Hautapata jibu, sasa nchi nyingi zilizo mbele kimaendeleo ukiangalia baraza lao la mawaziri unaona karibia kila waziri ni kifaa. Hivyo nchi haiendelei sababu inaongozwa na watu ambao hawajawaji ku-achieve chochote in life, hawana tuzo zozote, hata tu za michezo kama UMITASHUMTA au riadha.
It takes hard work and commitment ku-achieve something in life, kama ni Ufaulu mzuri ni lazima usome kwa bidii, kama ni kushinda riadha ni lazima uwe na nidhamu na training ikiwa ni pamoja na kufata ratiba ya mazoezi kila siku.