Tetesi: Viongozi wengi waandamizi CHADEMA tayari wana tiketi mkononi, kusafiri nje ya nchi wakati wowote kuanzia sasa

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Logistics zote kwa baadhi yao zimekamilika, ikiwa ni pamoja na pasi maalumu za kusafiria, na wengi wao wamefadhiliwa na taasisi za kitaifa na kimataifa, kwa usaidizi wa baadhi ya wawakilishi wa nchi zao humu nchini..

Jambo hili ni dogo, Lakini ni serious sana hasa kwa wanasiasa ambao maisha yao ni magumu sana humu nchini, halafu familia zao zipo ng"ambo. Sasa hawakua na sababu za msingi kwenda kuungana na na kuishi na familia zao huko ughaibuni.

Sasa hii ndio fursa ya maana sana wanatumia. we utaona wanavyotuka kama panzi wakati wowote kuanzia sasa. Alihitimisha mnyetishaji bila kuongeza neno lolote..

Hii ni kutoroka waandamanaji au kuwahadaa waandamanaji?

kumbe hii songombingo ya kabokamchizi na maandamano haramu ni fursa muhimu sana kwa baadhi vijanaa na wanasiasa wa mujini?🐒

Soma Pia:

Mungu Ibariki Tanzania
 
Wewe mtu mzima huna ata ticket ya kwenda bunda kusalimia wazazi
dah basi tumepiga hatua sana,
hadi tiketi za ndege kwenda mkumsalimia bibi huko bunda, hadi unafadhiliwa na taasisi za kimataifa?🐒
 
Logistics zote kwa baadhi yao zimekamilika, na wengi wao wamefadhiliwa na taasisi za kitaifa na kimataifa, kwa usaidizi wa baadhi ya wawakilishi wa nchi zao humu nchini..

Jambo hili ni dogo, Lakini ni serious sana hasa kwa wanasiasa ambao maisha yao ni magumu sana humu nchini, halafu familia zao zipo ng"ambo. Sasa hawakua na sababu za msingi kwenda kuungana na na kuishi na familia zao huko ughaibuni.

Sasa hii ndio fursa ya maana sana wanatumia. we utaona wanavyotuka kama panzi wakati wowote kuanzia sasa. Alihitimisha mnyetishaji bila kuongeza neno lolote..

Hii ni kutoroka waandamanaji au kuwahadaa waandamanaji?

kumbe hii songombingo ya kabokamchizi na maandamano haramu ni fursa muhimu sana kwa baadhi vijanaa na wanasiasa wa mujini?🐒

Soma Pia:

Mungu Ibariki Tanzania
Chai, ongeza viungo.
 
Uzushi
 
Machafuko yakitokea huwa manavaa hijab kutorokea mipakani wanajua Airport watapigwa pin
 
Nimemuona moja wao saloon Fulani, anapiga upara wa maana sana kidevuni naona ndio maandalizi 🐒
 
Logistics zote kwa baadhi yao zimekamilika, na wengi wao wamefadhiliwa na taasisi za kitaifa na kimataifa, kwa usaidizi wa baadhi ya wawakilishi wa nchi zao humu nchini..

Jambo hili ni dogo, Lakini ni serious sana hasa kwa wanasiasa ambao maisha yao ni magumu sana humu nchini, halafu familia zao zipo ng"ambo. Sasa hawakua na sababu za msingi kwenda kuungana na na kuishi na familia zao huko ughaibuni.

Sasa hii ndio fursa ya maana sana wanatumia. we utaona wanavyotuka kama panzi wakati wowote kuanzia sasa. Alihitimisha mnyetishaji bila kuongeza neno lolote..

Hii ni kutoroka waandamanaji au kuwahadaa waandamanaji?

kumbe hii songombingo ya kabokamchizi na maandamano haramu ni fursa muhimu sana kwa baadhi vijanaa na wanasiasa wa mujini?🐒

Soma Pia:

Mungu Ibariki Tanzania
Intelejensia ipo vere pafekti kudukua mpaka viushuzi vya CHADEMA.

Lakini, watanzania wanatekwa, wanapotezwa na kuuawa hakuna intelejensia inayoweza kushughulikia haya majanga.

Katikati ya msiba na maombolezo yetu, mtesi wetu na wafuasi wake wamejazana mitandaoni kutudhihaki, kutukebehi, kututishia nankutuua.

Wewe ni mmojawapo
 
kwanini sasa nabii mnyang'anyi wa malori wa Arusha anaanda hijab na tayari ana tiketi ya ndege amepewa?

au yeye Lazima avuke boda kwanza kwa kuvaa hijab, au ndio maana ananyoa ndevu kila siku saivi?🤣
 
Kuna jamaa aliniambia sometime nyeto ni kitu muhim sana maana unaepusha kuzaa mtoto kituko nimeamini maneno yale ni kweli.....
 
kwanini sasa nabii mnyang'anyi wa malori wa Arusha anaanda hijab na tayari ana tiketi ya ndege amepewa?

au yeye Lazima avuke boda kwanza kwa kuvaa hijab, au ndio maana ananyoa ndevu kila siku saivi?🤣
Unafuatilia wanaume wa watu hadi style zao za kunyoa ndevu??
Wewe huna mume??
Inaonekana pia jobless karibu tukusitiri.
 
Back
Top Bottom