Tetesi: Viongozi wengi waandamizi CHADEMA tayari wana tiketi mkononi, kusafiri nje ya nchi wakati wowote kuanzia sasa

Serikali na polisi wanajichosha tu kuwazuia Hawa jamaa,wawaachie tu waandamane kama ilivyokua maandamano waliyoratiba nchi nzima na hatimae wakawa ni wao wenyewe wanahama pamoja mkoa mmoja kwenda mwingine.
WaTZ WA sasa SI wale wa 2010,wana maumivu makubwa ya kusalitiwa na hao wanaojiita wapinzani Tena kwa kushindwa kuishi ya waliyoyabuhiti.TUMBO TU
 
hakunaga kuchoka kwenye kutekeleza majukumu ya kiapo na wajibu wa kikatiba gentleman, ni muhimu kuelewa hilo 🐒

Maandamano haramu ya Chadema yalishapigwa marufuku na polisi

na kwavyovyote vile virungu vya maana sana vitatembea kwenye mabega, migongo na viuno vya makaidi wenye kiburi na jeuri za kutotii sheria bila shuruti bila mbambamba yoyote...

usithubutu,
akili za kuambiwa changanya na zako 🐒
 
ni muhimu kufahamu maslahi ya Taifa na maslahi ya Taifa, kwamba tunaenda kwenye maandamano haramu pamoja halafu kumbe wewe mfukoni una tiketi ya ndege, moto ukiwaka unawaacha wenzio wakichezea virungu,

huko airport ikishindikana, unavaa hijab na kigodoro chako, ili ionekane wewe ni wa jinsia nyingine ili upite boda ..

magizo hayo ni kwa maslahi ya Taifa au maslahi binafsi?🐒
Hoja ni kuwa watu wanapotezwa na suala la msingi ni kutafuta njia za kuondoa tatizo hilo, hayo mengine ni secondary
 
Logistics zote kwa baadhi yao zimekamilika, ikiwa ni pamoja na pasi maalumu za kusafiria, na wengi wao wamefadhiliwa na taasisi za kitaifa na kimataifa, kwa usaidizi wa baadhi ya wawakilishi wa nchi zao humu nchini..

Jambo hili ni dogo, Lakini ni serious sana hasa kwa wanasiasa ambao maisha yao ni magumu sana humu nchini, halafu familia zao zipo ng"ambo. Sasa hawakua na sababu za msingi kwenda kuungana na na kuishi na familia zao huko ughaibuni.

Sasa hii ndio fursa ya maana sana wanatumia. we utaona wanavyotuka kama panzi wakati wowote kuanzia sasa. Alihitimisha mnyetishaji bila kuongeza neno lolote..

Hii ni kutoroka waandamanaji au kuwahadaa waandamanaji?

kumbe hii songombingo ya kabokamchizi na maandamano haramu ni fursa muhimu sana kwa baadhi vijanaa na wanasiasa wa mujini?🐒

Soma Pia:

Mungu Ibariki Tanzania
Hatuishii kwa hisiaa

Weka ushaidiii
 
Hatuishii kwa hisiaa

Weka ushaidiii
ushahidi wa muhimu zaidi ni baada ya makapuku kuchezea virungu vya maana sana, na kuugulia maumivu makali amana na mahospitali mengine,

hao waandamizi wenye tiketi zao za ndege mikononi watakua wanakula bata ughaibuni, huku wakitoa ratiba ya kurejea kwao nchini , hali ikiwa shwari 🐒
 
Hoja ni kuwa watu wanapotezwa na suala la msingi ni kutafuta njia za kuondoa tatizo hilo, hayo mengine ni secondary
wengine hatuwezi kuficha ukweli unapoonekana bayana..

hata hivyo,
hao wenye tiketi za ndege mikononi, si ndio wanatamani kuzidisha Tatizo zaidi kanakwamba ndio solutions, ama hii sio issue?

what is Samia must go?
kwamba ni Lazima,apende asipende right? Is that a solution real?🐒
 
Kwa Yale mauaji ya kibao hata kama ni mimi ningejiandaa Kwa lolote !!
Tanzania sio Salama Tena Kwa mfumo wa vyama vingi labda chama kimoja Cha CCM!!
 
hizo tiketi hawakukata wenyewe gentleman,

wameomba kwa wafadhili wao wa siku zote kwenye joto, na wakapatiwa na taasisi hizo za kitaifa na kimataifa, kwa kushirikiana na wawakilishi wa baadhi ya nchi humu nchini 🐒

Ni muhimu sana kuamini Mungu gentleman...
Unless I see exhibits/cogent evidence I won't believe it at all (methodical doubt principle at work).
 
Logistics zote kwa baadhi yao zimekamilika, ikiwa ni pamoja na pasi maalumu za kusafiria, na wengi wao wamefadhiliwa na taasisi za kitaifa na kimataifa, kwa usaidizi wa baadhi ya wawakilishi wa nchi zao humu nchini..

Jambo hili ni dogo, Lakini ni serious sana hasa kwa wanasiasa ambao maisha yao ni magumu sana humu nchini, halafu familia zao zipo ng"ambo. Sasa hawakua na sababu za msingi kwenda kuungana na na kuishi na familia zao huko ughaibuni.

Sasa hii ndio fursa ya maana sana wanatumia. we utaona wanavyotuka kama panzi wakati wowote kuanzia sasa. Alihitimisha mnyetishaji bila kuongeza neno lolote..

Hii ni kutoroka waandamanaji au kuwahadaa waandamanaji?

kumbe hii songombingo ya kabokamchizi na maandamano haramu ni fursa muhimu sana kwa baadhi vijanaa na wanasiasa wa mujini?🐒

Soma Pia:

Mungu Ibariki Tanzania
labda kama wamepewa mpunga wasepe. ila hakuna sababu yeyote kukimbia. wanachadema wenyewe huwa hatuwaamini sana.
 
kumbe hii songombingo ya kabokamchizi na maandamano haramu ni fursa muhimu sana kwa baadhi vijanaa na wanasiasa wa mujini?[emoji205]

Soma Pia:

Mungu Ibariki Tanzania
Weka ushahidi.
 
labda kama wamepewa mpunga wasepe. ila hakuna sababu yeyote kukimbia. wanachadema wenyewe huwa hatuwaamini sana.
I can confirm to you logistics zote ziko tayari,
tena yule wa Arusha ndio alikua anatamani sana hii nafasi kwasababu tayari alikua ameanza kufedheheka, maisha yalimchapa haswa halafu hakua na sababu kwenda ughaibuni 🐒

hata hivyo,
Makamu Mwenyekiti familia yake iko US na Belgium watoto na wake zake wawili mzungu na mTanzania,

Chairman , familia yake iko Dubai.
huyo mwingine wa Arusha, ambae hana uelekeo na maisha yamemchapa , mkewe yupo Canada, na asipoangalia au akajisahau sana mkewe ataolewa kule 🐒
 
Kwa Yale mauaji ya kibao hata kama ni mimi ningejiandaa Kwa lolote !!
Tanzania sio Salama Tena Kwa mfumo wa vyama vingi labda chama kimoja Cha CCM!!
Maoni na mtazamo wako ni mzuri ila sio muafaka kabisa 🐒

kwahivyo unaenda marekani ambako ni salama na hawauani kabisa, right?🐒
 
I can confirm to you logistics zote ziko tayari,
tena yule wa Arusha ndio alikua anatamani sana hii nafasi kwasababu tayari alikua ameanza kufedheheka, maisha yalimchapa haswa halafu hakua na sababu kwenda ughaibuni 🐒

hata hivyo,
Makamu Mwenyekiti familia yake iko US na Belgium watoto na wake zake wawili mzungu na mTanzania,

Chairman , familia yake iko Dubai.
huyo mwingine wa Arusha, ambae hana uelekeo na maisha yamemchapa , mkewe yupo Canada, na asipoangalia au akajisahau sana mkewe ataolewa kule 🐒
wa arusha ungenambia amekumbuka wife kule canada ningekuelewa ,kwa sababu muda wote huu atakuwa anaponea wapi wife na watoto wapo canada wanalishwa marupurupu. watoto wanasoma huko na kama hatakuwa hatarini manake atarudishwa na watoto watastop kusoma canada. huyo chairman wa dubai, huko ana biashara zake ndio maana hawezi kumdindia maza kwasababu waarabu wakiamua kumshughulikia kwenye biznes zake kule atakoma,ndio maana amekuwa msaliti wa kwanza kuliko hat amasisiemu. makamu TL huyo ndio pekee mwenye ujasiri ila anasalitiwa na chairman. ccm wamewin sana kumshika masikio chairman na chairman kamshika TL pabaya.
 
Oyaaa gen z mambo vipi!
Na si mnajua gen z hawafatishi viongozi wanaandamana kwa better future yao.
Sasa hizi story za viongozi kusepa haiwahusu.
 
Logistics zote kwa baadhi yao zimekamilika, ikiwa ni pamoja na pasi maalumu za kusafiria, na wengi wao wamefadhiliwa na taasisi za kitaifa na kimataifa, kwa usaidizi wa baadhi ya wawakilishi wa nchi zao humu nchini..

Jambo hili ni dogo, Lakini ni serious sana hasa kwa wanasiasa ambao maisha yao ni magumu sana humu nchini, halafu familia zao zipo ng"ambo. Sasa hawakua na sababu za msingi kwenda kuungana na na kuishi na familia zao huko ughaibuni.

Sasa hii ndio fursa ya maana sana wanatumia. we utaona wanavyotuka kama panzi wakati wowote kuanzia sasa. Alihitimisha mnyetishaji bila kuongeza neno lolote..

Hii ni kutoroka waandamanaji au kuwahadaa waandamanaji?

kumbe hii songombingo ya kabokamchizi na maandamano haramu ni fursa muhimu sana kwa baadhi vijanaa na wanasiasa wa mujini?🐒
samia quote.png
mama samia.png
samia quote 2.png

Soma Pia:

Mungu Ibariki Tanzania
 
wengine hatuwezi kuficha ukweli unapoonekana bayana..

hata hivyo,
hao wenye tiketi za ndege mikononi, si ndio wanatamani kuzidisha Tatizo zaidi kanakwamba ndio solutions, ama hii sio issue?

what is Samia must go?
kwamba ni Lazima,apende asipende right? Is that a solution real?🐒
Mambo siyo rahisi hivyo
 
Back
Top Bottom