Tetesi: Viongozi wengi waandamizi CHADEMA tayari wana tiketi mkononi, kusafiri nje ya nchi wakati wowote kuanzia sasa

Unafuatilia wanaume wa watu hadi style zao za kunyoa ndevu??
Wewe huna mume??
Inaonekana pia jobless karibu tukusitiri.
sio kunyoa ndevu tu mpaka gentleman,

mpaka hadi wanavyo chagua na kujaribu kuvaa hijabs na wanavyojaribu kuvaa vigodoro eti waonekane wana hips na sundrundru kama wahusika 🀣
 
Kuna jamaa aliniambia sometime nyeto ni kitu muhim sana maana unaepusha kuzaa mtoto kituko nimeamini maneno yale ni kweli.....
nimemuona yule nabii mnyang'anyi wa malori Arusha, anajaribu kuvaa kigodoro na hijabs ile aonekane ni mtu muhimu hapo hapo kiunoni dah!

hapo kifuani sasa, utacheka kama sio yule jamaa mkorofi, ila sauti ndio kashindwa kubadilisha 🀣
 
Utaolewa ukiendeleza umbea
Sure,
kwa mfano yule nabii mnyang'anyi wa malori Arusha,

anaweza kuolewa kabisa
kwasababu iweje mwanaume mzima mbishi kama yule, ajaribu kuvaa kigodoro au hijab gani liko sawa kwake, na hapo kifuani anajiweka sawa kabisa kumetuna manyonyo🀣

sijui sauti itakuaje dah 🀣
 

Mkuu kuna maslahi ya Umma na maslahi binafsi... tofautisha hivyo vitu, ipo Kona inayomuunganisha kila mtu bila kujali itikadi yake....andika taratibu..​

 

Mkuu kuna maslahi ya Umma na maslahi binafsi... tofautisha hivyo vitu, ipo Kona inayomuunfanisha kila mtu bila kujali itikadi yake....andika taratibu​

kwa mfano yule nabii mnyang'anyi wa malori Arusha, ambavyo jaribu kuvaa vigodoro na hijab ili asijulikane ni yeye, hiyo ni kwa maslahi binafsi au maslahi ya taifa gentleman?🀣

hebu elezea wadau,
mbona wanachochea moto huku wakiwa standby na tiketi mkononi?

hiyo ni kwa maslahi ya taifa au maslahi binafsi gentleman, hebu saidia wadau kutofautisha hapo πŸ’
 
Mkuu uongo ukisemwa na mtu mzima kama wewe, tena anayejinasibu kuwa msomi inafikirisha!!

1. Ndugu Tlaatlaah thibitisha kwa kuweka ushahidi wa malipo kutoka kwa wafadhili hao.

2. Thibitisha majina ya viongozi hao na tiketi zao hizo hapa. Vinginevyo ni uongo uliokubuhu!

3. Kwa mujibu wa katiba maandamano sio haramu kama unavyoongopa hapa. Maandamano hayo ni halali ndio maana tayari polisi wameanza kuandamana na tarehe 23 ni hitimisho tu.

4. Mkuu hata Kigamboni na Zanzibar ni ng'ambo pia. Uongo wako hausaidii chochote wala hauzuii maandamano!! Waandamanaji waandamizi (polisi) walishaanza kuingia mtaani toka juzi!!!

"Ukiwa chawa ujue uchafu unakuhusu!!"
 
kwamba nithibitishe tiketi ya ndege ya nani kwa mfano gentleman?

au ya yule nabii mnyang'anyi wa malori Arusha, ambae sasa hivi anajaribu vigodoro ili awe na hips na kujiandaa kuvaa hijab apitie boda endapo atazuiliwa airport?🀣

au nithibitishe tiketi ya nani,
kwamba ile aliyonayo tayari mkononi, tena yakufadhiliwa na mataasisi ya kimataifa, ni ticket ya SGR au ni ya boti ya Kilimanjaro kwamba anaenda pemba?πŸ’
 
Ulikuwa unawakagua wakati wanakata hizo tiketi na hati maalumu za kusafiria'? Then, kama ni kweli weka at least vivuli kadhaa vya hizo tiketi na hati maalumu za kusafiria. Otherwise, kwa kutumia kanuni yangu ya 'methodical doubt' niliyofundishwa na mentor wangu Rene Descartes (French mathematician, philosopher and scientist) siamini, mpaka nione. N.B: Ukiweka, usiweke vivuli vya kupika.
 
Mbona unaleta habari nyinginenyingine
 
hizo tiketi hawakukata wenyewe gentleman,

wameomba kwa wafadhili wao wa siku zote kwenye joto, na wakapatiwa na taasisi hizo za kitaifa na kimataifa, kwa kushirikiana na wawakilishi wa baadhi ya nchi humu nchini πŸ’

Ni muhimu sana kuamini Mungu gentleman...
 
Unauhakika au unajitungia stroy za vijiweni
 
Mbona unaleta habari nyinginenyingine
ni muhimu kufahamu maslahi ya Taifa na maslahi ya Taifa, kwamba tunaenda kwenye maandamano haramu pamoja halafu kumbe wewe mfukoni una tiketi ya ndege, moto ukiwaka unawaacha wenzio wakichezea virungu,

huko airport ikishindikana, unavaa hijab na kigodoro chako, ili ionekane wewe ni wa jinsia nyingine ili upite boda ..

magizo hayo ni kwa maslahi ya Taifa au maslahi binafsi?πŸ’
 
Eti wana pasi maalumu za kusafiria. Dah! Ujinga nao ni kipaji sana yaani
 
Kumbe ww mwenyewe huna uhakika wowote unajitungia story za kahawa? Next uwe hata na ka evidence
evidence utaziona wakati wenzako wakiwa ughaibuni wana kula bata, huku wewe ukiwa umeteguliwa kiuno na mgongo amana hospital na ukiwa chini ya ulinzi πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…