Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Unadhani ni nini kimewavutia hata wakuamua kukimbilia zaidi CCM kuliko vyama vingine vya siasa?
Ni ukata wa fedha wa kutisha ulioko ndani ya vyama hivyo vya siasa nchini au ni ufinyu wa fursa za kazi na nafasi ya kubaki relevant kwenye political scene na angalau kula maisha kidogo na wana CCM?
Unadhani ni kiongozi yupi mwandamizi pale chadema atakua wa kwanza kung'atuka na kutimkia CCM kwa awamu hii ya kwanza kutokana na songombingo ya maneno inayoendelea ndani ya chadema kwa sasa? wengi zaidi watajiunga CCM kuanzia mapema January 2025.
Maana uhasama ulipofikia sasa unazidi kiwango cha kuvumiliana kadiri muda unavyozidi kwenda, na kila moja kajawa woga na hofu dhidi ya mustakabali wake ndani ya chadema.
Kama wanasiasa , yafaa kuiombea chadema umoja na amani miongoni mwa viongozi waandamizi wake.🐒
Mungu Ibariki Tanzania