Tetesi: Viongozi wengi waandamizi wa CHADEMA wakubali yaishe kwa amani, wengi wao wanatarajiwa kutimkia CCM kuliko vyama vingine vya siasa

Unadhani ni nini kimewavutia hata wakuamua kukimbilia zaidi CCM kuliko vyama vingine vya siasa?

Ni ukata wa fedha wa kutisha ulioko ndani ya vyama hivyo vya siasa nchini au ni ufinyu wa fursa za kazi na nafasi ya kubaki relevant kwenye political scene na angalau kula maisha kidogo na wana CCM?

Unadhani ni kiongozi yupi mwandamizi pale chadema atakua wa kwanza kung'atuka na kutimkia CCM kwa awamu hii ya kwanza kutokana na songombingo ya maneno inayoendelea ndani ya chadema kwa sasa? wengi zaidi watajiunga CCM kuanzia mapema January 2025.

Maana uhasama ulipofikia sasa unazidi kiwango cha kuvumiliana kadiri muda unavyozidi kwenda, na kila moja kajawa woga na hofu dhidi ya mustakabali wake ndani ya chadema.

Kama wanasiasa , yafaa kuiombea chadema umoja na amani miongoni mwa viongozi waandamizi wake.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Ulaji.
 
gentleman,
siasa ni mipango, siasa ni opportunities ..

kutoa siri za ufalme wako kwa watesi wako ndio chanzo cha hali unayo. Tunza siri za nguvu ulizonazo 🐒

that is nonsense in issues politics gentleman 🐒
Huna point ,blah blah nyingi, huna credible source hizo habari automatic zinageuka uswahili. Wako watu wanatoa credible news na source zake
Punguza blah blah be practical
 
kwahiyo umeambiwa JF ni source ya kutoa credible news au umeghafilika gentleman?

viongozi wa chadema wanatimkia CCM from now, huku wengi zaid watatimkia huko January 🐒
 
Chadema nā wafuasi wake wote ni wapuuzi tu.
Mfano mzuri
Jirani yangu ni CDM kindakindaki,lakini siku ya uchaguzi hakwenda kupiga kura kisa eti CCM imeshashind hata kama nitaenda kupiga.
Anadai mwakani hatapga kura maana CCM watashinda kwa kuiba kura.
Baada ya matokeo anapta mitaani nā kudai CCM waliiba kura.
Kura ipi aliyoenda kupiga ikaibwa?.
Kama CDM hawaendi kupiga kura mnataka wana CCM ndo wakawape kura?.
Natoa ushauri,kama ni bangi vuteni mchana nā siyo saa nane au tisa usiku.
 
Nimekuuliza what is your source? Sijasema jf is. So do you have a source au huna?
 
Chadema nā wafuasi wake wote ni wapuuzi tu.
Mfano mzuri
Jirani yangu ni CDM kindakindaki,lakini siku ya uchaguzi hakwenda kupiga kura kisa eti CCM imeshashind hata kama nitaenda kupiga.
Anadai mwakani hatapga kura maana CCM watashinda kwa kuiba kura.
Baada ya matokeo anapta mitaani nā kudai CCM waliiba kura.
Kura ipi aliyoenda kupiga ikaibwa?.
Kama CDM hawaendi kupiga kura mnataka wana CCM ndo wakawape kura?.
Natoa ushauri,kama ni bangi vuteni mchana nā siyo saa nane au tisa usiku.
umeeleza point ya maana mno comrade, tena kisomi sana.

kwasasababu politics and elections is all about numbers.

sasa kama mtu hafanyi mahesabu na kua sehemu ya hayo mahesabu atashindaje uchaguzi?

Makamu mwenyekiti wao Taifa, sijui anaitwa Lusu alisema chadema wana MAWENGE nadhani bado wana babaika nayo 🐒
 
I
Unadhani ni nini kimewavutia hata wakuamua kukimbilia zaidi CCM kuliko vyama vingine vya siasa?

Ni ukata wa fedha wa kutisha ulioko ndani ya vyama hivyo vya siasa nchini au ni ufinyu wa fursa za kazi na nafasi ya kubaki relevant kwenye political scene na angalau kula maisha kidogo na wana CCM?

Unadhani ni kiongozi yupi mwandamizi pale chadema atakua wa kwanza kung'atuka na kutimkia CCM kwa awamu hii ya kwanza kutokana na songombingo ya maneno inayoendelea ndani ya chadema kwa sasa? wengi zaidi watajiunga CCM kuanzia mapema January 2025.

Maana uhasama ulipofikia sasa unazidi kiwango cha kuvumiliana kadiri muda unavyozidi kwenda, na kila moja kajawa woga na hofu dhidi ya mustakabali wake ndani ya chadema.

Kama wanasiasa , yafaa kuiombea chadema umoja na amani miongoni mwa viongozi waandamizi wake.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Itakuwa safi sana

Utakuwa mwisho wa Uchawa wako

Utakuwa mwisho wa Malaya wako wa KISIASA

Maana unafanya uchawa iliuchaguliwa kuwa kiongozi sasa utakula wapi maana wote tutakuwa CCM
 
tuliza makasiriko mercenary wa Kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi huna mpya 🐒
 
Kwa hiyo ht babako ni mshenzi? Unatumia makalio kufikiri
Relax gentleman,
fikiria kwa hekima wa bongo ya kichwa bana,

acha fikra za kifirauni kwenye mambo muhimu, sawa?🐒
 
Unadhani ni nini kimewavutia hata wakuamua kukimbilia zaidi CCM kuliko vyama vingine vya siasa?

Ni ukata wa fedha wa kutisha ulioko ndani ya vyama
20241012_143143.jpg
hivyo vya siasa nchini au ni ufinyu wa fursa za kazi na nafasi ya kubaki relevant kwenye political scene na angalau kula maisha kidogo na wana CCM?

Back
Top Bottom