Tetesi: Viongozi wengi waandamizi wa CHADEMA wakubali yaishe kwa amani, wengi wao wanatarajiwa kutimkia CCM kuliko vyama vingine vya siasa

sawa,
we endelea kumendea wake za watu ukadhani huonekani,

nasisitiza ukinyakwa usisingizie utekaji
Kwamba bwanamdogo wa kigoma alikua anamendea wake za watu, mzee Kibao nae alikua ananyapianyapia misambwanda ya wenyewe, Lissu nae alikua na tabia ya kumendea wake za wenyewe??

Kua na adabu Tlaatlaah alaaa
 
Gentleman,
nasisitiza sana kuepuka mambo kama hayo ya aibu bila kujali nani anahusika, kwasababu imekua kichaka cha kujifichia baada ya kuvuruga familia za watu
 
Iko hivi ukiona anayetimkia humo ama ni chawa ama dish limeyumba na iwezo wa kawaida wa kufikiri umefikia ukomo ama alishaporwa ubongo na ccM
 
Iko hivi ukiona anayetimkia humo ama ni chawa ama dish limeyumba na iwezo wa kawaida wa kufikiri umefikia ukomo ama alishaporwa ubongo na ccM
Nilitarajia katika mazingira kama haya uangua kilio unachekaaa?
 
Iko hivi ukiona anayetimkia humo ama ni chawa ama dish limeyumba na iwezo wa kawaida wa kufikiri umefikia ukomo ama alishaporwa ubongo na ccM
sio wanakua wamenyimwa pesa kidogo ya konyagi?

kwanini watu wakitumia uhuru na haki zao wanachadema mampata mihemko na makasiriko sana gentleman
 
Nilitarajia katika mazingira kama haya uangua kilio unachekaaa?
nacheka kwasababu inashangaza mtu kukasirika eti kwasababu mwingine katumia uhuru na haki yake kuamua uelekeo mpya, inshangaza sana
 
Gentleman,
acha mzaha basi,
hebu mtaje mamluki moja muandamizi pale chadema anae elekea CCM 🀣
Chama kina miaka zaidi ya 50 bado kinategemea wanachama wanaotoka vyama vingine?
Si mnasema kuna pesa za join the chain na ruzuku pale? Huo ukata unaosema wewe ni upi sasa
 
Chama kina miaka zaidi ya 50 bado kinategemea wanachama wanaotoka vyama vingine?
Si mnasema kuna pesa za join the chain na ruzuku pale? Huo ukata unaosema wewe ni upi sasa
kwahiyo unakwazikaaaa baada ya kuona wananchi wanatumia haki na uhuru wao kuamua uelekeo wao mpya baada ya kuchoshwa na ulevi wa viongozi wa vyama vingine right?

join the chain zimebaki risiti tu gentleaman, unafaaa nchezo nini na mwamba wa kaskazini
 
Msigwa aliyehamia huko kazi yake Nini zaidi ya kumkumbuka X wake ?. Ubongo kauacha mlangoni.
ni mwanachama huru wa kawaida wa ccm kama wewe ulivyo mwanachama huru wa kawaida wa chadema,

au unaona wivu na kujiskia uchungu gentleaman?
 
nacheka kwasababu inashangaza mtu kukasirika eti kwasababu mwingine katumia uhuru na haki yake kuamua uelekeo mpya, inshangaza sana
Wewe na wenzio mlisha shangaa mkamaliza hamna jipya la kushangaa tena.Waacheni wenye uwezo wa kuwashangaa wawashangae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…