Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Dec 19, 2025 #1 Wakiwa madarakani wanakuwa na viburi, kejeli, ubabe na dharau kwa wananchi wao. Ikifika muda wakaondolewa wanaanza kuona kama wanaonewa kwa sheria walizoziweka wao au mambo waliyopelekea kufikia hapo. Tumeona kwa Marehemu Mugabe, Ali Bongo, Saddam na n.k
Wakiwa madarakani wanakuwa na viburi, kejeli, ubabe na dharau kwa wananchi wao. Ikifika muda wakaondolewa wanaanza kuona kama wanaonewa kwa sheria walizoziweka wao au mambo waliyopelekea kufikia hapo. Tumeona kwa Marehemu Mugabe, Ali Bongo, Saddam na n.k
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 Dec 19, 2025 #2 Fbn said: Wakiwa madarakani wanakuwa na viburi,kejeli,ubabe na dharau kwa wananchi wao. Ikifika mda wakaondolewa wanaanza kuona kama wanaonewa kwa sheria walizoziweka wao au mambo waliyopelekea kufikia hapo. Tumeona kwa Marehemu Mugabe,ali bongo,saddam na n.k Click to expand...
Fbn said: Wakiwa madarakani wanakuwa na viburi,kejeli,ubabe na dharau kwa wananchi wao. Ikifika mda wakaondolewa wanaanza kuona kama wanaonewa kwa sheria walizoziweka wao au mambo waliyopelekea kufikia hapo. Tumeona kwa Marehemu Mugabe,ali bongo,saddam na n.k Click to expand...
M Mtutuwandei JF-Expert Member Joined Jun 28, 2022 Posts 2,153 Reaction score 3,140 Dec 19, 2025 #3 Ni tabu kuwahurumia waliotolewa kwenye kundi la watawala ilhali waliutetea mfumo kwa nguvu zao zote. Nashangaa sasa kuona kauli mbiu imebadilika kutoka CCM must go imekuwa Samia must go.
Ni tabu kuwahurumia waliotolewa kwenye kundi la watawala ilhali waliutetea mfumo kwa nguvu zao zote. Nashangaa sasa kuona kauli mbiu imebadilika kutoka CCM must go imekuwa Samia must go.