Hakika ukimtegemea binadamu akuongoze kwa haki unapoteza mda!
Tishio dogo la kimbunga! Viongozi wengi wamechimba kimya kimya! Wengi wamekinbilia DOM na maeneo mengine!
Tumshukuru sana Mungu kwasababu kaahirisha kimbunga kwa ajili ya wale Raia wema waliobaki wasiokuwa na mbio!
Tumshukuru Mungu kwasababu laiti kimbunga kingekuja ZINGESIFIWA MBIO ZAO, laiti kimbunga kingekuja Waliokimbia WANGESIFU PESA ZAO, Laiti kimbunga kingekuja WANGESIFU NDEGE NA MAGARI YAO yaliyowasafilisha, laiti kimbunga kingekuja WANGESIFU AKILI ZAO!
Neno linasema Mungu ni mwenye WIVU! Hakitakiwi kusifiwa kingine Bali ni Yeye! Hivyo kuliko kutukuza mbio kaamua kuahirisha!
Kwasababu hiyo! WAKUABUDIWA na kusifiwa ATABAKI kuwa ni MUNGU PEKEE YULE YULE milele hata milele!!