mbegubora29
JF-Expert Member
- Mar 14, 2015
- 552
- 403
Kwa kweli mola amechukia kwa mwanamke wa kislam kuwaongoza maustaadhi wazima.Naam,hbr wa jf,Naam ni mpango wa muumba kila kiongoz anayepatikana ktk sehem yeyote ilee huwa ni kusudio lake vyovyote awavyo lakini kwetu sie watakiwa inaweza kuwa adhabu au iwe huruma toka kwa muumba isipokuwa ukiona mtawala muovu tambua mmeyachuma kwa mikono yetu hivyo haina haja kutukana,kuandama wala kugombezana isipokuwa tukaye chini tutubie kwa muumba wetu pale tulipokosea maana hata tuweke mfumo gani kamwe hatutaweza kufaulu mpaka mola aamue!
Nawasilisha!
Sio mwanamke yaan yeyote yuleee alimradi awatie madhira na dhiki ktk dunia hii ambayo umr wake wa kuishi hauzid miaka 60 ukiwa na akil timam na afya ya kutoshaKwa kweli mola amechukia kwa mwanamke wa kislam kuwaongoza maustaadhi wazima.
Siyo kila jambo kumsingizia Mungu, hiyo ni dalili ya kushindwa kutatua matatizo yaliyo ndani ya uwezo wetu. Kiongozi mzuri au mbaya ni matokeo ya maamuzi yetu.Naam,hbr wa jf,Naam ni mpango wa muumba kila kiongoz anayepatikana ktk sehem yeyote ilee huwa ni kusudio lake vyovyote awavyo lakini kwetu sie watakiwa inaweza kuwa adhabu au iwe huruma toka kwa muumba isipokuwa ukiona mtawala muovu tambua mmeyachuma kwa mikono yetu hivyo haina haja kutukana,kuandama wala kugombezana isipokuwa tukaye chini tutubie kwa muumba wetu pale tulipokosea maana hata tuweke mfumo gani kamwe hatutaweza kufaulu mpaka mola aamue!
Nawasilisha!
Kuna nguzo ya imani inaamini kher na shar vintoka kwake na kama anatokana maamuzi yetu kwann tulaumu au we ukimpngia muumba uzaliwe na baba gan au ukoo gan si umejikuta tu lkn baba yako ndo kiongoz awe mbaya au mzurSiyo kila jambo kumsingizia Mungu, hiyo ni dalili ya kushindwa kutatua matatizo yaliyo ndani ya uwezo wetu. Kiongozi mzuri au mbaya ni matokeo ya maamuzi yetu.
Kwa hiyo tunajadili mambo ya muumba wetu au mihemko yako. Toka kule, unapongea siasa acha dini za watu.Naam,hbr wa jf,Naam ni mpango wa muumba kila kiongoz anayepatikana ktk sehem yeyote ilee huwa ni kusudio lake vyovyote awavyo lakini kwetu sie watakiwa inaweza kuwa adhabu au iwe huruma toka kwa muumba isipokuwa ukiona mtawala muovu tambua mmeyachuma kwa mikono yetu hivyo haina haja kutukana,kuandama wala kugombezana isipokuwa tukaye chini tutubie kwa muumba wetu pale tulipokosea maana hata tuweke mfumo gani kamwe hatutaweza kufaulu mpaka mola aamue!
Nawasilisha!
Dini ndo maisha kamili ya mwanadam na ndo viumbe wake na kwake ndo marejeo na hasa majibu ya maswali yetu ndo tutakapoyapatia hukooKwa hiyo tunajadili mambo ya muumba wetu au mihemko yako. Toka kule, unapongea siasa acha dini za watu.
Sina majib ya kukutosheleza zaid toka kwa muumba wako na hta hao unaopambna nao hautawaweza kamwe kama akili iko hivyoo kwan huna uchumi wala mgambo huna ukijisogeza tu umekwishaKwa hiyo tunajadili mambo ya muumba wetu au mihemko yako. Toka kule, unapongea siasa acha dini za watu.
Achana na muumba. Juhudi zako ndio zitakutoa hapo ulipo na sio kuja kulalamika JF,Sina majib ya kukutosheleza zaid toka kwa muumba wako na hta hao unaopambna nao hautawaweza kamwe kama akili iko hivyoo kwan huna uchumi wala mgambo huna ukijisogeza tu umekwisha
Hkuna anayelalama bro,naona tunapoteza vijana bila kujua wapi wnakoseaAchana na muumba. Juhudi zako ndio zitakutoa hapo ulipo na sio kuja kulalamika JF,
Another school of thoughtsNaam, habari wana JF, Naam ni mpango wa muumba kila kiongoz anayepatikana ktk sehem yeyote ilee huwa ni kusudio lake vyovyote awavyo.
Lakini kwetu sie watakiwa inaweza kuwa adhabu au iwe huruma toka kwa muumba isipokuwa ukiona mtawala muovu tambua mmeyachuma kwa mikono yetu hivyo haina haja kutukana,kuandama wala kugombezana isipokuwa tukaye chini tutubie kwa muumba wetu pale tulipokosea.
Maana hata tuweke mfumo gani kamwe hatutaweza kufaulu mpaka mola aamue!
Nawasilisha!
We ndo unataka dalili shekhe? Nimekupata lkn unaangalia nan unaongea naye?ingekuwa vyema hoja yako hii ungeibena na dalili na sio maneno matupu